ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
USIJIDANGANYE kwamba WEWE waweza kuzuia mahitaji ya KWELI ya wananchi.Kupiga hatua ni kuwa na tume mpya? Kupiga hatua ni kuwa na katiba mpya? Nyie mnataka tume mpya kwa manufaa yenu ya kichama, sisi kama wanainchi tume mpya ya uchaguzi ya nn
USIJIDANGANYE kwamba WEWE waweza kuzuia mahitaji ya KWELI ya wananchi.
Hatua ya mwanzo tayari, sasa tunakaribia arobaini ya Mwendazake, labda ndio utaanza kuamini.
Jiwe alikuwa mbishi na mwenye kiburimbuzi kuliko wewe.
Hoja ni hiyo hiyo, Jiwe ndio alikuwa ibada yako, na bado wataka kung'ang'aniza kuendelea kumwamwabudu.Mbona unatoka nje ya hoja
Jiwe anaingiaje hapa?
Hoja ni hiyo hiyo, Jiwe ndio alikuwa ibada yako, na bado wataka kung'ang'aniza kuendelea kumwamwabudu.
Nilishawasamehe muda mrefu wewe na aina yako, na sitachoka kuwaombea.Samahani,
Hivi Ulisoma kweli umri wa kujiunga Jf?
Samahani lkn
Nilishawasamehe muda mrefu wewe na aina yako, na sitachoka kuwaombea.
Nimekusamehe kama ulivyoomba, nitaendelea 7x70Ulisoma umri wa kujiunga Jf? Ndio hoja
Iljshaelezwa na. KATIBU Mkuu wa Chema kwamba hawajawahi peleka manina TUME ya uchaguzi. Uhuni ukufanyika anti ya Tume na Bunge. Wao wanajua shabaha yaoKama sijakosea wanapaswa kuitahalifu tume ya uchaguzi kwani wabunge hao wanpelekwa bungeni na tume tume itamwalifu sipika
Ni ubabe. No more, no less. Kwa kuwa wanakinga ya kutoshitakiwa. Kilichobaki ni kuwaombea dua baya.Wakuu pengine tujadili kidogo kua kwa nini Bunge kinawakumbatia wabunge wasio na sifa za ubunge.
Naibu spika wa bunge Dr. Tulia Ackson naona anawakumbatia wabunge hao.
Je, nini maoni yako? Tujadili hili.
Naamini hakuna jambo lisilokuwa na sababu. Labda nafsi zao zinawasuta kuwa hao wapinzani walistahili kuwepo mjengoni lkn karata 3 ilitumika sasa wanawarejesha kwa style hiyo anyway Mungu naye ananjia zake kumrudishiwa mtu kile kilichoibiwa na aduiWakuu pengine tujadili kidogo kua kwa nini Bunge kinawakumbatia wabunge wasio na sifa za ubunge.
Naibu spika wa bunge Dr. Tulia Ackson naona anawakumbatia wabunge hao.
Je, nini maoni yako? Tujadili hili.
Dogo Imma wewe ni mnaa sana hiyo cheka yako mh mh🤣🤣🤣eti kiongozi muovu. Dahh
kweli mkuuNaamini hakuna jambo lisilokuwa na sababu. Labda nafsi zao zinawasuta kuwa hao wapinzani walistahili kuwepo mjengoni lkn karata 3 ilitumika sasa wanawarejesha kwa style hiyo anyway Mungu naye ananjia zake kumrudishiwa mtu kile kilichoibiwa na adui
Nchi pamoja na Mungu kutusaidi kutoa kiongozi muovu bado hatujielewi
Kumbe amepanda cheo na kua st. Magufuli