Uchaguzi 2020 Kwanini CCM hawataki Uchaguzi wa Haki na amani?

Uchaguzi 2020 Kwanini CCM hawataki Uchaguzi wa Haki na amani?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Wataulinda utawala wao kwa nguvu za dola.

Je, hawajiamini ushindani wa hoja?
Je, wamefanya makosa mengi?
Je, wamenyang'anya na kudhulumu sana?
Je, wanaogopa kupandishwa vizimbani?
Je, wanataka kupima nguvu za wananchi walio wengi ambao wapo wazi kuikataa CCM kwenye sanduku la kura?
Je, wanaogopa mahesabu ya matrilioni yaliopotea wakiwa wao ni wenye kuiongoza tuseme kuitawala?

Hivi wanaogopa kitu gani kiasi ya kutembea na booking za tiketi za ndege mkononi?
 
1599706532513.jpeg
 
Kwa kauli na matendo kabla na Sasa ndani ya uchaguzi wa mwaka huu,Tishio la uvunjifu wa amani ni Chadema na baadhi ya ndugu zake wa ZNZ tu,wamejiandaa kufanya fujo na kuvunja amani ya nchii baada ya uchaguzi pamoja na kujua muelekeo wao mpaka Sasa ni kushinda.
Tuwe nao macho sana
 
CCM wanaongoza kwa kueneza propaganda za uwepo wa vita na machafuko endapo Upinzani utachukua madaraka ya kuongoza nchi, sijui nani aliwaambia waliumbwa ili wawatawale watanzania milele.

Yaani kuna watu unaweza kuwaona wana akili timamu humo CCM ila wakisimama jukwaani , wanaongea upuuzi mtupu, kama wanaongea halafu kuna watoto karibu inabdi uondoke kwa aibu.
 
Back
Top Bottom