Kwanini CCM imejitenga na msiba wa Profesa Sarungi??

Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Usimsemee Rais, marehemu Prof. Sarungi ni mtu tofauti na Maria.
Matendo ya Maria hayawezi kutumika kumhukumu.
 
Bichwa lako la habari na utumbo wako wa habari ni vitu tofauti.
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Maria ni Maria Professor ni Yeye alikuwa mtumishi wao! Huu ni uzwazwa.
Msiba utaisha tuu!.
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Uzuri hata CCm wasiposhirki atazikwa tena kwa wakati na Kodi zetu zitapona.
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Demokrasia imekuwa ngumu kutsafsiri
 
Rais gani huyu anayetudhalilisha watanganyika kwa kuuza maliasili zetu! Mwizi ni mwizi tu hana jina lingine
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Baba anahusikaje sasa
 
Pia aliwahi kuwa waziri wa Ulinzi wakati mkuu wa majeshi akiwa Jenerali George Marwa Waitara.
 
Ukiona kwenye Jambo lako Shetani kakimbia unapaswa kumshukuru Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…