Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Mkwewe ni waziri hiyo ni tosha tu kibinadamu kuwepo hata private; na bado mtoto wake kaolewa huko. Maana yake pia kwake ule ni msiba wa kifamilia, lakini hakuonekana walau kwenye media akienda kuhani msiba.Baba wa mkwewe alikuwa waziri?? Hata hivyo aliwatuma akina Nchimbi na Wasira pamoja na viongozi wengine wa serikali ngazi ya mkoa na wilaya.
Hata kwa prof. Sarungi tunalalamikia serikali yake kujitenga na msiba huo
Ukitoa misiba ambayo serikali ya Tanzania inaitambua kama ‘state funerals’ basi hiyo mengine aiwahusu ata kama marehemu alikuwa waziri huko nyuma.
Washafariki mawaziri wengi tu na viongozi wakuu wa serikali kutokufika kabisa, hizo sio state funerals. as far as serikali is concerned. Kwenda ni ubinadamu tu.