Kwanini CCM inaruhusu watu wahoji udini?!

Kama hamjaomba? Nasikia kayafa alikua akitoa majina kwa maaskofu vipi hawa Samia akiwaokota huko bakwata kunae shida?
 
View attachment 2415777

Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwanini?!!

CCM isiruhusu hayo mambo, yanamharibia kiongozi wake.

Udini umekujaaa...we huoni mgawanyo wa Zainzibar na bara kila nafasi?nafasi ya mwenyekiti utaenda Zanzibar..makamu bara... kwahiyo Kama hakuna mkristo Zanzibar aliejitokeza wafanyaje?
 
Udini umekujaaa...we huoni mgawanyo wa Zainzibar na bara kila nafasi?nafasi ya mwenyekiti utaenda Zanzibar..makamu bara... kwahiyo Kama hakuna mkristo Zanzibar aliejitokeza wafanyaje?
Kwa nini iwe pendele[vu] ngazi ya juu kwa wa-Zanzibar na si Tanganyika?

Huoni swali juu ya sintofahamu ziada?!!
 
Tunabomoa mfumo Kristu,Kama Mwenyekiti na Makamu wake ni Waislamu,Kuna shida gani kuteua ndugu zao katika Imani.
 
Weka evidence ya hizo kelele za upendeleo WA dini awamu ya tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…