Kwanini CCM inaruhusu watu wahoji udini?!

Kwanini CCM inaruhusu watu wahoji udini?!

Don't continue living like a past, the future will never find you......21st century......uko na udini bado!!?......

Ungetuma maombi kama we ni kada wao na si kulaumu.....Kwa kujificha kwenye kichaka cha udini.....

grow up!.......
Ya KCMC ya udini umeyasikia?
 
Namfahamu "Enock" mmoja aliyeachwa. Hivyo walikuwepo lakini hawajawekwa hapo
Duh, kama tumefika huko nchi iko pabaya sana.

Huwezi kulibagua kundi kubwa na lenye nguvu zaìdi nchi ikabaki salama.

Wajitafakari.
 
View attachment 2415777

Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwanini?!!

CCM isiruhusu hayo mambo, yanamharibia kiongozi wake.

Wamepitishwa kwa kauli moja ya CC hapo wameangalia sifa na uwezo wao, tuwapime kwa nafasi zao.

Ubaya ni kwamba wapo ambao hata kupita hawakupitishwa walianza kujipitisha kwa matajiri kuomba Pesa.
 
Hakuna cha abdala wala John wote HAO ni wahuni Tu hakuna kilichobora ndani ya CCM
Wewe umeliweka hili kitaalam sana.à
Wote hao wahuni tu awe Rnock au Daniell...as far as yupo CCM na anataka uongozi, basi ni mhuni tu sawa na wahuni wengine wa mtaani.
 
Haya mambo naona yanakuwa influenced na dini ya kiongozi aliyepo madarakani, ok huwa wanasema wanatazama sifa hawatazami dini.

Lakini ni kweli kwa hii jamii yetu leo iliyo na wasomi mchanganyiko toka kila upande, wakakosekana wa upande wa pili ili kuleta usawa?
Labda hao wakina Enock wana akili timamu na hawataki ujingaujinga na uhuni wa rejareja.
 
Enzi za Magu kulitawaliwa na wakristo tupu hukuwahi piga kelele. Hii tuachie sisi wewe endelea kulinda kaburi!!
Enzi za Magu ilikuwa watu wa Lake Zone kona Heri James. Wale walikuwa wa wakitukana wapinzani wanapongezwa
 
Back
Top Bottom