Kwanini CCM inaruhusu watu wahoji udini?!

Kwanini CCM inaruhusu watu wahoji udini?!

Hiyo thread karibu yote anatetewa Magufuli...kwamba wateule wake wako qualified haikutazamwa dini...
Now Samia anashambuliwa tena na Wale Wale waliomsapoti Magufuli...very strange
 
Kwa nini iwe pendele[vu] ngazi ya juu kwa wa-Zanzibar na si Tanganyika?

Huoni swali juu ya sintofahamu ziada?!!
Halafu hao wanaenda kugombea sio uteuzi kama uwaziri n.k

Au unafikiri kwa Samia ni kama kwa alias Kayafa aka pontio pilato? Maana yule mkuda hapo angekuja na Jina moja tuu kisha mpige kura ya ndio au Hapana!!

This time mtuache watoto wa mjini aisee kalimeni furu chato nyie washamba!
 
Awamu ya sita tutaikumbuka kwa udini na uzanzibari.
Samia yuko fair sana... chongollo na secretarieti ya CCM mostly ni wakristo...

Hivi Magufuli utamfananisha kwa kiwango kipi cha udini?

Unasemea Uzanzibari vipi usukuma kwa magufuli?

Maana hapo list ingetawaliwa na Makigo,Makubi, Mayanga, Shigela, Shija, Mataragio, Chamuriho, Bukililo, Mashimba, et al

Kutesa ni kwa zamu wacha na wenzenu wale.
 
View attachment 2415777

Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwanini?!!

CCM isiruhusu hayo mambo, yanamharibia kiongozi wake.
Hivi nyie siku hizi mnamfundisha wenye fikra sahihi siku zote? Ccm mnaanza kukiri ujamaa ni upuuzi. Fikra za kudumu sio sahihi tena? Tulieni ujamaa wa Iran na wengine IPO na ujamaa wa urusi na China dhidi ya ubepari wa mashariki.

Dunia ina mifumo kama siasa za bongo. Kuna vyama vingi vyenye kazi moja dhini ya chama kimoja cheny njia moja.
 
Udini umekujaaa...we huoni mgawanyo wa Zainzibar na bara kila nafasi?nafasi ya mwenyekiti utaenda Zanzibar..makamu bara... kwahiyo Kama hakuna mkristo Zanzibar aliejitokeza wafanyaje?
"Kama" hakuna mkristo aliyeomba ndio jibu gani, mnatafuta majibu ya kubahatisha kuficha ujinga unaofanyika.
 
Nafasi zimegawanywa... mwenyekiti itatoka Zanzibar..makamu bara..
Sasa kulazimisha Zanzibar atoke mkristo ndo udini wa waziwazi
Kwani kule Zanzibar wanaishi waislamu peke yao? kwanini mnapenda sana kuificha jamii nyingine ya wasio waislamu?

Uwezo wako wa kufikiri umedumaa kiasi kwamba sasa unaamini Zanzibar akitokea mkristu kuwakilisha wengine kwako litakuwa kosa!.
 
Samia yuko fair sana... chongollo na secretarieti ya CCM mostly ni wakristo...

Hivi Magufuli utamfananisha kwa kiwango kipi cha udini?

Unasemea Uzanzibari vipi usukuma kwa magufuli?

Maana hapo list ingetawaliwa na Makigo,Makubi, Mayanga, Shigela, Shija, Mataragio, Chamuriho, Bukililo, Mashimba, et al

Kutesa ni kwa zamu wacha na wenzenu wale.
Lets call a spade a spade.

Kilichofanyika ni upendeleo wa dhahiri.

Huwezi nilazimisha niamini hakuna mtanganyika mkristo mwenye sifa za kugombea nafasi ya mwenyekiti UVCCM Taifa katika watu milioni 60 waliopo Tanganyika.

Hao uliowataja wote hawawezi kwenda kinyume na matakwa ya mkubwa wao.

Kilichofanyika ni kibaya na kisirudiwe tena.
 
Umeshamkimbiza!
 
Nitajie mwenyekiti wa Bavicha mwislamu tangu iasisiwe
 
View attachment 2415777

Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwanini?!!

CCM isiruhusu hayo mambo, yanamharibia kiongozi wake.
Tulia sindano ikuingie ... Mlimsema Magu sana sasa msituchanganye hata serikali yote iwe ya Waislam nasema tulia sindano ikuingie....
 
Unafiki unatabia moja kuu ukijuwa kusifia ujuwe pia na kulia Yani hiyo ndio sifa yakuwa mnafiki. Huku anaongoza nchi vizuri na sanamu tumjengee na huku huyu ni mdini... Wajinga sana nasema maana Bora mngefunga midomo kuliko onyesha unafiki wetu huku mkijiita ccm. Mwacheni aongoze kama mlivyosema msitugombanishe kwa tamaa zenu za ndani ya ccm
 
Ccm haitaki najisi mama anapenda kuwa na watu safi wenye sigda
 
Hapo ni siasa tu, mwenyekiti awe mwanaume,muislamu anatoka kisiwani

Makamu mwanamke,mkristo anatoka bara
 
Zamani UVCCM ilikuwa na utaratibu kama Katibu Mkuu,anatoka Tanzania bara,basi Mwenyekiti atatoka Zanzibar.Kama Mwenyekiti anatoka Tanzania bara, basi Katibu Mkuu atatoka Zanzibar.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom