Rais Magufuli na mfumo Kristo
hivi kule ng'ambo ya pili hakuna wakristu mbonA hatusikii malalamiko kama haya.... hapa hatuhitaji wa kutuongozea ibadawww.jamiiforums.com
Halafu hao wanaenda kugombea sio uteuzi kama uwaziri n.kKwa nini iwe pendele[vu] ngazi ya juu kwa wa-Zanzibar na si Tanganyika?
Huoni swali juu ya sintofahamu ziada?!!
Samia yuko fair sana... chongollo na secretarieti ya CCM mostly ni wakristo...Awamu ya sita tutaikumbuka kwa udini na uzanzibari.
Hivi nyie siku hizi mnamfundisha wenye fikra sahihi siku zote? Ccm mnaanza kukiri ujamaa ni upuuzi. Fikra za kudumu sio sahihi tena? Tulieni ujamaa wa Iran na wengine IPO na ujamaa wa urusi na China dhidi ya ubepari wa mashariki.View attachment 2415777
Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwanini?!!
CCM isiruhusu hayo mambo, yanamharibia kiongozi wake.
Usilete habari za kusikia hapa.Kama hamjaomba? Nasikia kayafa alikua akitoa majina kwa maaskofu vipi hawa Samia akiwaokota huko bakwata kunae shida?
"Kama" hakuna mkristo aliyeomba ndio jibu gani, mnatafuta majibu ya kubahatisha kuficha ujinga unaofanyika.Udini umekujaaa...we huoni mgawanyo wa Zainzibar na bara kila nafasi?nafasi ya mwenyekiti utaenda Zanzibar..makamu bara... kwahiyo Kama hakuna mkristo Zanzibar aliejitokeza wafanyaje?
Kwani kule Zanzibar wanaishi waislamu peke yao? kwanini mnapenda sana kuificha jamii nyingine ya wasio waislamu?Nafasi zimegawanywa... mwenyekiti itatoka Zanzibar..makamu bara..
Sasa kulazimisha Zanzibar atoke mkristo ndo udini wa waziwazi
Alikuwa anaitwa Askofu John Auckland RamadhanJina siyo dini
Askofu mkuu wa Anglican church alikuwa anaitwa Ramadhan kutokea Zanzibar
Lets call a spade a spade.Samia yuko fair sana... chongollo na secretarieti ya CCM mostly ni wakristo...
Hivi Magufuli utamfananisha kwa kiwango kipi cha udini?
Unasemea Uzanzibari vipi usukuma kwa magufuli?
Maana hapo list ingetawaliwa na Makigo,Makubi, Mayanga, Shigela, Shija, Mataragio, Chamuriho, Bukililo, Mashimba, et al
Kutesa ni kwa zamu wacha na wenzenu wale.
Umeshamkimbiza!Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli
Kwa masiku kadhaa Sheikh Khalifa amekuwa akisikika na kauli yake ya kumtuhumu Rais Magufuli kuwajaza Wakristo wengi kwenye nafasi zake za uteuzi. Aidha Sheikh huyo aliongezea kwa kusema kuwa licha ya uwepo wa suala hili la udini Rais Magufuli ameweka wazi upendeleo wake wa kikanda ambapo watu...www.jamiiforums.com
Nitajie mwenyekiti wa Bavicha mwislamu tangu iasisiweLets call a spade a spade.
Kilichofanyika ni upendeleo wa dhahiri.
Huwezi nilazimisha niamini hakuna mtanganyika mkristo mwenye sifa za kugombea nafasi ya mwenyekiti UVCCM Taifa katika watu milioni 60 waliopo Tanganyika.
Hao uliowataja wote hawawezi kwenda kinyume na matakwa ya mkubwa wao.
Kilichofanyika ni kibaya na kisirudiwe tena.
Mama ni mdini na Uzanzibari uliopitiliza na hauonei aibuView attachment 2415777
Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwanini?!!
CCM isiruhusu hayo mambo, yanamharibia kiongozi wake.
Tulia sindano ikuingie ... Mlimsema Magu sana sasa msituchanganye hata serikali yote iwe ya Waislam nasema tulia sindano ikuingie....View attachment 2415777
Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwanini?!!
CCM isiruhusu hayo mambo, yanamharibia kiongozi wake.
Wameomba sana DINI yao imekuwa KikwazoKama hao kina Enock hawataki kugombea walazimishwe?
Mungu hajawahi kuumba mkristo wala mwiislam- aliuumba binadamu na binadamu wenyewe ndiyo haoView attachment 2415777
Hapo juu ni wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hakuna Enock wala Angelina hapo-kwanini?!!
CCM isiruhusu hayo mambo, yanamharibia kiongozi wake.