PostGE2025 Kwanini CCM inataka kuongea kwa niaba ya wahanga wa Oktoba 29?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa?

Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa Kwa haraka?

Kwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu Bagonza kuwa ukiwa na haki ya kuchapa usitake kuchukua haki ya kulia ya unayemchapa?

Kadhia ya 29OKTOBA inawezaje kusahauliwa kirahisi?
 
hii kauli ya bagoza inatakiwa kwenda kwa vyama vyote, hata chadema na nyongeza ya wanaharakati
 
1. Hakuna mwenye hamu ya kutaka kuwa muongeaji wa vibaka waliouliwa pamoja na wale wa BAHATI MBAYA(vurugu hazina macho)

2. tatzo mtu kama mwambukusi alitoa pendekezo kuwa viongozi wa serikali wawe kimya. wakati huo yeye na wapuuzi wenzie wakijipa mamlaka ya kuzungumzia na kugeuza swala hili kama mtaji wa kisiasa.

3. Mkitaka kugeuza swala hili la okt 29 kama mtaji wa kisiasa kama yalivyokuwa matamanio yenu, hapo lazima upande mmoja upoteze (ijapo haijulikani ni upande upi)
 
Wewe upo pande gani ?
 
Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa?

Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa Kwa haraka?

Kwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu Bagonza kuwa ukiwa na haki ya kuchapa usitake kuchukua haki ya kulia ya unayemchapa?

Kadhia ya 29OKTOBA inawezaje kusahauliwa kirahisi?
Mazafaka Nchimbi aliipindisha kauli ya Mwabukusi ambaye aliwataka viongozi wakae kimya kama hawawezi kuongea responsibly kuhusu kadhia ya 29 October!
 
Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa?

Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa Kwa haraka?

Kwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu Bagonza kuwa ukiwa na haki ya kuchapa usitake kuchukua haki ya kulia ya unayemchapa?

Kadhia ya 29OKTOBA inawezaje kusahauliwa kirahisi?
Hofu: The guilty are afraid!
 
acha porojo na uzushi uselss na nonsense kihivyo gentleman :NoGodNo:
 
1. Hakuna mwenye hamu ya kutaka kuwa muongeaji wa vibaka waliouliwa pamoja na wale wa BAHATI MBAYA(vurugu hazina macho)

2. tatzo mtu kama mwambukusi alitoa pendekezo kuwa viongozi wa serikali wawe kimya. wakati huo yeye na wapuuzi wenzie wakijipa mamlaka ya kuzungumzia na kugeuza swala hili kama mtaji wa kisiasa.

3. Mkitaka kugeuza swala hili la okt 29 kama mtaji wa kisiasa kama yalivyokuwa matamanio yenu, hapo lazima upande mmoja upoteze (ijapo haijulikani ni upande upi)
HIvi bibaka walio iba uchaguzi na kujichagua hao huwaoni unakuja kuona watu walio kua wanapigana kuikomboa nchi yao kwa majambazi ww unakuja na porojo za kishoga...ila sishangai hata kina Nyerere walipo kua wanapigania uhuru kuna panya km nyie mlikua mnasumbua
 
Kwa ivo CHADEMA inahusikaje na hiyo kauli?
Kwa muktadha upi?

muktadha naoulenga ni wazi wanaharakati + chadema walihamasisha maandamano hayo , ambayo yalilenga siku ya uchaguzi na hawakuishia hapo watu waliaminishwa hadi vitu ambavyo si vya kweli ili kuhakikisha wanakamilisha kujitokeza --- hawa wote walijua fika watu watakufa hiyo siku, ila wakaendelea na mkakati yametokea maafa wanapata wapi uhalali wa kuongoza masikitiko hali ya kua walifahamu?

au unataka kusema chadema haihusiki?
 
Back
Top Bottom