Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
- #21
Wameadhirika?wengi ni wadhirika wakubwa ndugu
Wameadhirika?wengi ni wadhirika wakubwa ndugu
Walijua hao watu watakufa... Walijua watauawa na nani? Jee muuaji alikuwa na haki ya kuwaua kabla ya kuwaua?
Tatizo kitengo chenu ch matusi hakifanyi vizuriHIvi bibaka walio iba uchaguzi na kujichagua hao huwaoni unakuja kuona watu walio kua wanapigana kuikomboa nchi yao kwa majambazi ww unakuja na porojo za kishoga...ila sishangai hata kina Nyerere walipo kua wanapigania uhuru kuna panya km nyie mlikua mnasumbua
1. Upande unaoheshimu wale waliotangulia mbele za haki hususani wale wa bahati mbaya.Wewe upo pande gani ?
Kuna watu waliojua watu watauawa!muktadha naoulenga ni wazi wanaharakati + chadema walihamasisha maandamano hayo , ambayo yalilenga siku ya uchaguzi na hawakuishia hapo watu waliaminishwa hadi vitu ambavyo si vya kweli ili kuhakikisha wanakamilisha kujitokeza --- hawa wote walijua fika watu watakufa hiyo siku, ila wakaendelea na mkakati yametokea maafa wanapata wapi uhalali wa kuongoza masikitiko hali ya kua walifahamu?
au unataka kusema chadema haihusiki?
Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa?
Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa Kwa haraka?
Kwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu Bagonza kuwa ukiwa na haki ya kuchapa usitake kuchukua haki ya kulia ya unayemchapa?
Kadhia ya 29OKTOBA inawezaje kusahauliwa kirahisi?
ndio kulingana nafurugu zilizotokeaWameadhirika?
1. Upande unaoheshimu wale waliotangulia mbele za haki hususani wale wa bahati mbaya.
2. Nipo upande wa wale wanaosubiri hatua zaidi kwa mjibu wa sheria hususan wale wanaosubiri ripoti ya tume
sasa mkuu unawaingiza watu mkenge alafu unataka kutoka clean kisa aliyeua ni mtu mwingine? wakati wewe ulikuvokua unawapeleka ulikua unatarajia kimyakimya namba za vifo ziwe nyingi ili upate nguvu kisiasa.
mi nilitarajia labda ungewatetea kwamba hawakudhani kama watu wangekufa --- kitu ambacho na chenyewe ni kibaya kuliko kuwaingiza mkenge kwa sababu itadhihirisha wana uwezo mdogo wa kufanya tathmini
ccm na chadema hawana tofauti, tena chadema ndo hamna kitu kabisa
mkuu maandamano yameitishwa siku ya kupiga kura, mitandaoni potential waandamanaji walikua wanasema wanaenda kuchoma nchi na kumfurusha rais na serikali yake --- kama kuna mtu hakufikiria damu itahusika inabidi atafakari kwa kinaKuna watu waliojua watu watauawa!
Watu hao walijua kuwa maandamano yatakuwa ni ya uvunjifu wa amani!
Hayo nimebaki kujiuliza ni kina nani hao kama siyo Serikali?
Kama ni Chadema chama kikuu cha upinzani, wanapohamasisha maandamano hawapaswi kunyooshewa vidole, maana mbiu yao ipo kisheria katika kutimiza wajibu wao kikatiba.
Na uhamasishaji haujaanza leo, walishaandamana huko nyuma na hatukuona uvunjifu wowote wa amani.
Kama kuna 'watu walijua' kuwa watu wataandamana na kisha watu hao watauawa, je ni watu gani hao wenye intelijesia kubwa kuliko Serikali?
Hivi kwa hali halisi, maandamano hayo intelijensia ya Serikali haikunusa nia ovu ya maandamano ya ghasia hadi kuyaacha yatokee na kisha kukurupuka na kuanza kuua watu ovyo?
Ishu hii nadhani si ya kuijadili kwa jaziba wala nini, maana wa kuwajibishwa kwa kadhia hii wapo lakini wanakingiwa kifua, lakini ipo siku kama taifa tutakuja ongea lugha moja kwa kuelewana kama tunavyoongea kiswahili sasa.
Unasema CCM na CHADEMA hawana tofauti wakati huo huo unasema CHADEMA ndo hamna kitu kabisa😃ccm na chadema hawana tofauti, tena chadema ndo hamna kitu kabisa
Hao ulio wataja ndo wapuuzi wenzio machawa ndo maana walisalimiwa na nchi hii mnaiharibu nyie wasifia upuuzi.Nchi ina vyanzo vya maji lukuki lakini maji ni shida harafu puuzi km ww unahotojoaTatizo kitengo chenu ch matusi hakifanyi vizuri
1. Wanapigania uhuru gani huo ambao hadi leo haupo?
2. Kwa hyo uhuru ulikuwa kwenye maduka ya simu?
3. Uhuru ulikuwa kwenye chakula cha shilole? Mwendokasi, na mifumo ya uzalishaji mle ndo kulikuwa na uhuru?
Mlipaswa kufa wote tu vyombo vya ulinzi vilikuwa na huruma sana!
Kule tanesco na tra kulikuwa na uhuru gani?
Nyie ni vbaka tu mlitakiwa kumalizwa bila huruma
mimi akili timamu ninazo na chadema siwezi kuiacha kwenye hizo lawamaLazima utakuwa kichaa kuilinganisha CHADEMA na CCM!!
CCM sote tunajua imeua watanganyika zaidi ya elfu 10, CHADEMA isiyo na bunduki hata 1, imemwua nani?
Tunajua CCM kila mwaka inafanya ufisadi wa matrilioni ya pesa za watanganyika, CHADEMA imefisadi nini?
Sote tunajua jinsi CCM ilivyopora rasilimali za watanganikan bandari, viwanja vya ndege, hifadhi za wanyama na misitu, na kisha kuwauzia waarabu, CHADEMA imepora rasilimali gani?
Lazima uwe kichaa punguani kuilinganisha CHADEMA na CCM!!
Ala bado najiuliza clip nilizo ona wahanga wenzang baadhi , wanasimulia kwamba ilikua hivi na vile kama wanatubu kwa paroko ,alafu what next, kwamba ndo marehemu watarudishiwa uhai, lengo hasa la hii tume nini , mpaka mda huu sielewi.Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa?
Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa Kwa haraka?
Kwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu Bagonza kuwa ukiwa na haki ya kuchapa usitake kuchukua haki ya kulia ya unayemchapa?
Kadhia ya 29OKTOBA inawezaje kusahauliwa kirahisi?
mambo ya imani kwenye siasa tena hizi za afrika weka pembeni mkuu, kwani ngoja chadema wale wenye chama nani kala shaba? wnaharakati wale nani kala shaba?Unasema CCM na CHADEMA hawana tofauti wakati huo huo unasema CHADEMA ndo hamna kitu kabisa😃
Kwa nini mnadhani watanzania hawana akili za kujitegemea mpaka waambiwe na wengine kuwa haki zao zinahujumiwa?
Yaani unaongea kama vile waliouawa ni wadhambi na utakaso wao ilikuwa ni kuuawa!
labda ni kwasababu ya ubishi wa vijana malofa hasa wa chadema masalia, waliobebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi eti na kujaribu kupora watu na kuharibu miundombinuSijui ni kwa nini mgambo huwa wanapenda kutoa Amri za hovyo hovyo?

Ile dhahabu ikiuzwa wewe utapewa shilingi ngapi?labda ni kwasababu ya ubishi wa vijana malofa hasa wa chadema masalia, waliobebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi eti na kujaribu kupora watu na kuharibu miundombinu![]()