Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
mali ya umma ni kwa maslahi na manufaa mapana ya umma wa waTanzania wote.Ile dhahabu ikiuzwa wewe utapewa shilingi ngapi?
ubinafsi na ubaguzi baki nao kwenye chama chako gentleman,
hata hivyo ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja yako mwenyewe mahususi mezani kuliko kumbwelambwela na kuweweseka na mambo yasiyohusika

