Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
hii kauli ya bagoza inatakiwa kwenda kwa vyama vyote, hata chadema na nyongeza ya wanaharakatiKwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu Bagonza kuwa ukiwa na haki ya kuchapa usitake kuchukua haki ya kulia ya unayemchapa?
Wewe upo pande gani ?1. Hakuna mwenye hamu ya kutaka kuwa muongeaji wa vibaka waliouliwa pamoja na wale wa BAHATI MBAYA(vurugu hazina macho)
2. tatzo mtu kama mwambukusi alitoa pendekezo kuwa viongozi wa serikali wawe kimya. wakati huo yeye na wapuuzi wenzie wakijipa mamlaka ya kuzungumzia na kugeuza swala hili kama mtaji wa kisiasa.
3. Mkitaka kugeuza swala hili la okt 29 kama mtaji wa kisiasa kama yalivyokuwa matamanio yenu, hapo lazima upande mmoja upoteze (ijapo haijulikani ni upande upi)
Kwa ivo CHADEMA inahusikaje na hiyo kauli?hii kauli ya bagoza inatakiwa kwenda kwa vyama vyote, hata chadema na nyongeza ya wanaharakati
Mazafaka Nchimbi aliipindisha kauli ya Mwabukusi ambaye aliwataka viongozi wakae kimya kama hawawezi kuongea responsibly kuhusu kadhia ya 29 October!Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa?
Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa Kwa haraka?
Kwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu Bagonza kuwa ukiwa na haki ya kuchapa usitake kuchukua haki ya kulia ya unayemchapa?
Kadhia ya 29OKTOBA inawezaje kusahauliwa kirahisi?
Kwa muktadha upi?hii kauli ya bagoza inatakiwa kwenda kwa vyama vyote, hata chadema na nyongeza ya wanaharakati
Hofu: The guilty are afraid!Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa?
Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa Kwa haraka?
Kwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu Bagonza kuwa ukiwa na haki ya kuchapa usitake kuchukua haki ya kulia ya unayemchapa?
Kadhia ya 29OKTOBA inawezaje kusahauliwa kirahisi?
Maisha ya akili zake yapo ukingoniWewe upo pande gani ?
acha porojo na uzushi uselss na nonsense kihivyo gentlemanHizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa?
Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa Kwa haraka?
Kwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu Bagonza kuwa ukiwa na haki ya kuchapa usitake kuchukua haki ya kulia ya unayemchapa?
Kadhia ya 29OKTOBA inawezaje kusahauliwa kirahisi?
HIvi bibaka walio iba uchaguzi na kujichagua hao huwaoni unakuja kuona watu walio kua wanapigana kuikomboa nchi yao kwa majambazi ww unakuja na porojo za kishoga...ila sishangai hata kina Nyerere walipo kua wanapigania uhuru kuna panya km nyie mlikua mnasumbua1. Hakuna mwenye hamu ya kutaka kuwa muongeaji wa vibaka waliouliwa pamoja na wale wa BAHATI MBAYA(vurugu hazina macho)
2. tatzo mtu kama mwambukusi alitoa pendekezo kuwa viongozi wa serikali wawe kimya. wakati huo yeye na wapuuzi wenzie wakijipa mamlaka ya kuzungumzia na kugeuza swala hili kama mtaji wa kisiasa.
3. Mkitaka kugeuza swala hili la okt 29 kama mtaji wa kisiasa kama yalivyokuwa matamanio yenu, hapo lazima upande mmoja upoteze (ijapo haijulikani ni upande upi)
Kwa ivo CHADEMA inahusikaje na hiyo kauli?
Kwa muktadha upi?
Walijua hao watu watakufa... Walijua watauawa na nani? Jee muuaji alikuwa na haki ya kuwaua kabla ya kuwaua?...hawa wote walijua fika watu watakufa hiyo siku...
Sijui ni kwa nini mgambo huwa wanapenda kutoa Amri za hovyo hovyo?acha porojo na uzushi...