PostGE2025 Kwanini CCM inataka kuongea kwa niaba ya wahanga wa Oktoba 29?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ile dhahabu ikiuzwa wewe utapewa shilingi ngapi?
mali ya umma ni kwa maslahi na manufaa mapana ya umma wa waTanzania wote.

ubinafsi na ubaguzi baki nao kwenye chama chako gentleman,
hata hivyo ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja yako mwenyewe mahususi mezani kuliko kumbwelambwela na kuweweseka na mambo yasiyohusika
 
Hoja imeshadadavuliwa vya kutosha na wenye akili wote wanajua "Paid content creators" wapo kazini kupotosha yaliyotokea 29Oktoba.
 
Hoja imeshadadavuliwa vya kutosha na wenye akili wote wanajua "Paid content creators" wapo kazini kupotosha yaliyotokea 29Oktoba.
Ohh,
ndio wale digital sadism content creators team kutoka chadema walihifadhiwa hapo nchi jirani, right?

naskia wameanza kujiconfuse baada ya confuser kuchikichia mitini bila kuwapa chochote kitu kwa muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…