Kuna mradi wa mwendo wa fasta wa kuchimbua barabara na kuweka bomba za maji taka wala haueleweki feasibility study yake, tunaamini Papaa makalaaliupitisha fasta kama alivyopitisha vibanda umiza coco beach sababu ya viji percent.
Ni mradi wa hovyo sababu haujawekwa vizuri u atuharibia barabara zetu mbovu tayariwao wanapasua wakikuta mtu kajijengea paving wanavunja tuu. Wameacha matope balaa mabarabarani na mvua hizi.
Ila sema safari hii watajijazia wenyewe kura zao, watu wengi kwa katiba na tume hii sidhank kama watasumbuka kwenda kupiga kura. Kuna mrafi gani wa maana ambao haujaachwa na magufuli, waje watufafanulie.
Na ndio maana unawaona wanaenda makaburini chato ukipita Tanzanite bridge, ukipita mfugale, john kijazi Dmdp ingeluwa sio chini ya magufjli pesa zingeliwa na uswahili kusingekuwa na lami ya u ora na mifereji kugunikwa wangeiacha wazi ukitaka muhakikisha hilo nenda mbweni ubungo kwenda kwa halima mdee lami ilvyolipuliwa na mkadarasi na hela anapewa.
Hawajui kujenga na kufuata standards, angekuwepo jpm mama tibaijuka, na kina mzee rupia na kejo wasingelalamika kumuita RC kwamba ujenzi wa sheli kwenye makazi umekiuka sheria za mipango miji, sheli zote zisingejengwa kiholela mpaka moto utokee ndio itaundwa tume kubaini kwamba mipango miji ilikiukwa. Sheli nyingi mana yake wanaiba mafuta bila kodi wanauza kwa faida kubwa.