Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Urusi ndiye rafiki wa kweli wa Afrika
Alipambana pamoja na Afrika kipindi cha Ukoloni
Alilia pamoja na Afrika mashujaa wetu walipouawa na mabeberu
Mpaka sasa bado anakwenda tofauti na mabeberu wanaponyonya Afrika
Najiuliza zile nchi zilizotutawala na kutunyonya ndiyo marafiki wakubwa wa vyama vyetu kwa sasa
Kwa sasa nauona huu urafiki na ukaribu na Russia kwa wachache hasa Rais wa Bukina faso ,ndiye pekee anakumbuka mchango wa Russia afrika .
View: https://youtu.be/I57bGuxMaPY?si=53Iq9WtDx9E5LQFK
Je bado tunatawaliwa na viongozi wanatumiwa na mabeberu kutunyonya?