HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Kwa hizi akili utegemee siku tutaacha tegemea mabeberu?Kama hujui unalishwa utakuwa kinda nenda google au uliza watawala wanavyoenda kupiga goti kwa wanaowaita mabeberu utafikiri wanampigia yesu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hizi akili utegemee siku tutaacha tegemea mabeberu?Kama hujui unalishwa utakuwa kinda nenda google au uliza watawala wanavyoenda kupiga goti kwa wanaowaita mabeberu utafikiri wanampigia yesu!
Bora uwaulize tu, wakikujibu nitagKwa hizi akili utegemee siku tutaacha tegemea mabeberu?
Kwa hizi akili utegemee siku tutaacha tegemea mabeberu ?Kama hujui unalishwa utakuwa kinda nenda google au uliza watawala wanavyoenda kupiga goti kwa wanaowaita mabeberu utafikiri wanampigia yesu!
Hii sio kweli tatizo nchi kama nchi kuanzia viongozi mpaka watawaliwa hawako tayari kujitawalaHii sio imani kiongozi, bila wazungu hata wewe haupo! Hii sio roho mtakatifu, we umelipa kodi kiasi gani mwaka huu labda tuanzie hapo? Laki zako na nusu zinaweza kuendesha V8 tu za kuanzia namba 1 hd mkuu wa wilaya? Walipa kodi 3m walishwaji 57m unatoa wapi kaka, acha kujifariji Afrika bado sana, hadi wajitambue kwanza hao wa juu
Hii sio kweli tatizo nchi kama nchi kuanzia viongozi mpaka watawaliwa hawako tayari kujitawala
Mjitegemee kwa akili zipi mlizonazo ?Hizi ndizo akili za Muafrika , akili ndogo , uwezo mdogo wa kufikiri . Kwani hii Nchi kwa mali ilizonazo ina hitaji misaada yao ? Afrika haiwezi jitegemea ?
Urusi ndiye rafiki wa kweli wa Afrika
Alipambana pamoja na Afrika kipindi cha Ukoloni
Alilia pamoja na Afrika mashujaa wetu walipouawa na mabeberu
Mpaka sasa bado anakwenda tofauti na mabeberu wanaponyonya Afrika
Najiuliza zile nchi zilizotutawala na kutunyonya ndiyo marafiki wakubwa wa vyama vyetu kwa sasa
Kwa sasa nauona huu urafiki na ukaribu na Russia kwa wachache hasa Rais wa Bukina faso ,ndiye pekee anakumbuka mchango wa Russia afrika .
View: https://youtu.be/I57bGuxMaPY?si=53Iq9WtDx9E5LQFK
Je bado tunatawaliwa na viongozi wanatumiwa na mabeberu kutunyonya?
View attachment 3100003
Kwa hiyo CDM sio wapinzani?Mkuu Nehemia
Mkuu Nehemia Kilave
Nawe pia umeingia kwenye huu mtego kuwa Tanzania kuna CCM halafu kuna wapinzani wa CCM?
Nakupa hii itakufaa uendako, mpinzani wa CCM ni CCM wenyewe. Ichukue hii, itakufaa!
c.c. Pascal Mayalla
Wajinga huongezeka wenye hekima wakikaa KimyaKama hujui unalishwa utakuwa kinda nenda google au uliza watawala wanavyoenda kupiga goti kwa wanaowaita mabeberu utafikiri wanampigia yesu!
Kwa hiyo CDM sio wapinzani?
Kuna pahala umezolewa na upepo wa misaada.Urusi ni rafiki wa madikteta wa dunia, na Urusi hajawahi kuchangia bajeti yenu hata sumni wakati hao manowaita mabeberu kila mwaka wanawapa 40% bure tu. Wasingekuwepo hadi leo ungekua sitimbi hata kaptula huijui.
Kuna pahala umezolewa na upepo wa misaada.
Toka nje ya box na ufikirie kwamba kuna kundi la mabeberu linakuibia milion na kukupa msaada wa jero.
Wajinga huongezeka wenye hekima wakikaa Kimya
Eti nenda Google kwani Google ya nani unadhani Google utakuta kitu kibaya cha mzungu acheni ujinga nyiny LGBT