Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Kwani hizi Nchi zinahitaji hiyo misaada ? Hebu tumia muda wako kidogo msikilize huyo Rais wa Bukina fasoHivyo vidonge unavyo bugia vinatoka Urusi....
Mabeberu wanakuonesha kuwa huwezi kwenda bila wao huku Urusi anafundisha unaweza kujitegemeaKwanini wawe na urafiki na Urusi, kwa faida gani, mana urafiki bila faida ni ujinga
Hizi ndizo akili za Muafrika , akili ndogo , uwezo mdogo wa kufikiri . Kwani hii Nchi kwa mali ilizonazo ina hitaji misaada yao ? Afrika haiwezi jitegemea ?Hivyo vidonge unavyo bugia vinatoka Urusi....
Afrika bado tuna safari ndefu sana kama bado karne hii tunasubiri Dawa , vifaa, matundu ya vyoo na pesa za misaada kutoka kwa wananchi wa Nchi nyingine walizozitolea jashoHizi ndizo akili za Muafrika , akili ndogo , uwezo mdogo wa kufikiri . Kwani hii Nchi kwa mali ilizonazo ina hitaji misaada yao ? Afrika haiwezi jitegemea ?
Halafu kwa bahati tunawachukia waarabu utadhani ndio waliowatesa babu zetuAliwahi jisemea Hayati Magufuli kuna wasaliti ndani ya Nchi mpaka leo hatujawhi kuamini , lakini kuna shida sehemu haiwezekani wakoloni wale wale leo hii ndio waonekane wanatupenda sana
HakikaHalafu kwa bahati tunawachukia waarabu utadhani ndio waliowatesa babu zetu
Kwani Africa tunahitaji kuchangiwa budget ?Urusi ni rafiki wa madikteta wa dunia, na Urusi hajawahi kuchangia bajeti yenu hata sumni wakati hao manowaita mabeberu kila mwaka wanawapa 40% bure tu. Wasingekuwepo hadi leo ungekua sitimbi hata kaptula huijui.
Kwani Africa tunahitaji kuchangiwa budge
Hilo halihitaji darubani kuliangalia!Urusi ndiye rafiki wa kweli wa AfrikaView attachment 3100003
Alipambana pamoja na Afrika kipindi cha Ukoloni
Alilia pamoja na Afrika mashujaa wetu walipouawa na mabeberu
Mpaka sasa bado anakwenda tofauti na mabeberu wanaponyonya Afrika
Najiuliza zile nchi zilizotutawala na kutunyonya ndiyo marafiki wakubwa wa vyama vyetu kwa sasa
Kwa sasa nauona huu urafiki na ukaribu na Russia kwa wachache hasa Rais wa Bukina faso ,ndiye pekee anakumbuka mchango wa Russia afrika .
View: https://youtu.be/I57bGuxMaPY?si=53Iq9WtDx9E5LQFK
Je bado tunatawaliwa na viongozi wanatumiwa na mabeberu kutunyonya?
Tatizo ni watawala na akili za watawaliwa ambao wanaamini bila misaada ya wazungu huwezi ishiKama hujui unalishwa utakuwa kinda nenda google au uliza watawala wanavyoenda kupiga goti kwa wanaowaita mabeberu utafikiri wanampigia yesu!
Huu ndiyo uhalisia, hakuna cha kusingizia West wala Russia. Kama huna rasilmali watu wenye uzalendo na teknolojia hakuna lolote litakalotufanya tuendelee.Afrika bado tuna safari ndefu sana kama bado karne hii tunasubiri Dawa , vifaa, matundu ya vyoo na pesa za misaada kutoka kwa wananchi wa Nchi nyingine walizozitolea jasho
Hatari sanaHuu ndiyo uhalisia, hakuna cha kusingizia West wala Russia. Kama huna rasilmali watu wenye uzalendo na teknolojia hakuna lolote litakalotufanya tuendelee.
Sisi tukomae na siasa za majitaka tu.
Tatizo ni watawala na akili za watawaliwa ambao wanaamini bila misaada ya wazungu huwezi ishi