Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

Mkuu wa majeshi= navy,airforce,landforce.
Ndivyo ilikuwa ikimaanisha.

Kwa sababu za kiusalama,hivyo juu hapo ni vikosi ndani ya jeshi moja jwtz,likiwa na wadogl zake wengine nje.
 
... dunaini kote ukitamka tu neno JESHI default understanding ni Jeshi la Ulinzi; kwa Tanzania ni JWTZ. Hivyo, kwa CDF kuitwa Mkuu wa Majeshi default understanding ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi; haihitaji ufafanuzi wa ziada; actually ndio kirefu cha CDF.

... hao wengine, IGP, CGI, CGP, n.k. ili kueleweka una-refer jeshi lipi (kuondoa default understanding) lazima ufafanue - Mkuu wa Jeshi la Polisi, n.k. Hope umeelewa.
 
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.

Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?

Police,Magereza,Uhamiaji,Zimamoto & Majeshi ya Uhifadhi ni majeshi usu.

JWTZ ni jeshi kamili hayo majeshi mengi wakati wa Vita ni majeshi ya akiba.Wakuu wa majeshi ya akiba ni Commissioner General.

Kimsingi Commissioner General kwakuwa wanaongoza majeshi ya akiba.
 
Watu wengi hawajui JW ni akina nani,TISS ni akina nani, Magereza ni akina nani, Uhamiaji na akina nani, yaani wapowapo, utadhani haya mambo yamejificha sana, siwezi kushangaa kuona mtu anajiunga kwenye majeshi, akiwa na mawazo ya kizamani.

Kutojua vitu vingi, muda mwingine ndo kunafanya baadhi ya watu, wanakua na msongo wa mawazo.
 
Back
Top Bottom