Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

Hebu uwe na akili.Kuna jeshi na vikundi vya tozo.Jitahidi hata kama una tuakili tiamaji ujue.Siyo kila kundi ni jeshi.Eti Police Force!Ya makalio?Ni police services![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuitwa force au service haiondoi maana yake ya kuwa nao ni jeshi.

National service ambayo kwa kiswahili ni JKT haiondolei sifa ya kuitwa jeshi.
 
Police,Magereza,Uhamiaji,Zimamoto & Majeshi ya Uhifadhi ni majeshi usu.

JWTZ ni jeshi kamili hayo majeshi mengi wakati wa Vita ni majeshi ya akiba.Wakuu wa majeshi ya akiba ni Commissioner General.

Kimsingi Commissioner General kwakuwa wanaongoza majeshi ya akiba.
Kwa sheria ipi?

Umetumia vigezo gani?
 
Watu wengi hawajui JW ni akina nani,TISS ni akina nani,Magereza ni akina nani,Uhamiaji na akina nani,yaani wapowapo,utadhani haya mambo yamejificha sana,siwezi kushangaa kuona mtu anajiunga kwenye majeshi,akiwa na mawazo ya kizamani.
Kutojua vitu vingi,muda mwingine ndo kunafanya baadhi ya watu,wanakua na msongo wa mawazo.
Shida ya nchi hii wajinga ni wengi?
 
Chief of defence force(CDF)
Hakuna Cheo Cha mkuu wa majeshi ila Kuna Cheo Cha mkuu wa jeshi la ulinzi.

Watakwambia yeye ndio mwenyekiti kwenye kile kikao Cha majeshi, ndio nini?
 
Mambo mengi rahisi bado watu awayajui na tunaowahisi wanajua bado nao wanatofautiana kwa kupingana.
ukitaka kuamini ninachosema mbunge yeyote wa bara aseme akiwa Bungeni"Zanzibar sio nchi"utazuka mjadala mkubwa sana.
 
Labda unafikiri kwa nini sio jeshi?

Labda utueleze jeshi ni nini?
Kwa mtazamo wako?
Kwa mujibu wa sheria?

Mtazamo wa Kimataifa?
 
Jirani zetu wanaita Kenya Police Service, U.K wanaita Police Service, kwa Biden wanaita New York Police Department(NYPD), Los Angeles Police Department(LAPD) n.k.
Labda unafikiri kwa nini sio jeshi?

Labda utueleze jeshi ni nini?
Kwa mtazamo wako?
Kwa mujibu wa sheria?

Mtazamo wa Kimataifa?
 
Back
Top Bottom