Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.

Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Ni lini Hili Jeshi letu ulikotaja Kwa pamoja hapa Tanzania watarusha kifaa kwenda mwezini??
Wamarekani wanajiandaa kutisha nyingine mwezi wa September kwenda kuzunguka mwezi na kurudi kitachukua siku 30.
Kama sensa imetumia mapesa Lukuki basi tunaweza kujipanga !

Ufusadi ukiacha kila Kona hata ma-Drs wanapiga!! Tanzagiza!!
 
Kwanini wasimalizie mkuu wa majeshi ya ulinzi? Kama ilivyo CDF?
MAJESHI; hakuna wengine wanaotumia neno hilo zaidi ya JWTZ. Hakuna majeshi ya polisi, wala ya magereza, wala ya UHAMIAJI; it's only and only JWTZ.

Do you know the meaning of verbosity? Using too many words unnecessarily for something which is clear with a few words. Verbosity is something to avoid not to entertain.
 
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.

Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
CDF - Chief of Defense Forces, maana yake ni Mkuu wa Majeshi ya ulinzi. Kwa asili tunayo majeshi ya ulinzi ya aina tatu; jeshi la ulinzi la nchi kavu ambalo pia lina commands zake, jeshi la ulinzi la anga na commands zake na jsehi la ulinzi la maji na commands zake. Pia kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia kuna aina mpya ya jeshi inayotoa ulinzi wa mifumo ya mawasiliano ya nchi.

Majeshi ya polisi, magereza, uhamiaji, wanyamapori n.k siyo ya ulinzi wa nchi bali raia na mali zake, hifadhi za wanyama n.k. Kwa kifupi yanashughulika na maswala ya ndani ya nchi.

MAONI YANGU.
 
Immigration ina dili vipi raia na mali zake?
Jeshi ni nini?

Kwa maoni yako: Coastal guard ni nini? Ni jesh au sio?
kumbuka America wana Navy.
 
Umeuliza kwa lengo la kujifunza au kuonesha kuwa unao uelewa kuliko maoni yangu?! Kumbuka maoni yanaweza kupingwa kwa maoni. Asante kwa mchango.
 
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.

Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Kesheria jeshi ni moja tu. Ni jeshi la wananchi
Mengine ni paramilitaries kama police, uhamiaji, maliasil
 
Watu wengi hawajui JW ni akina nani,TISS ni akina nani,Magereza ni akina nani,Uhamiaji na akina nani,yaani wapowapo,utadhani haya mambo yamejificha sana,siwezi kushangaa kuona mtu anajiunga kwenye majeshi,akiwa na mawazo ya kizamani.
Kutojua vitu vingi,muda mwingine ndo kunafanya baadhi ya watu,wanakua na msongo wa mawazo.
Siki moja alipita Jwtz ni private wa kawaida hana cheo kabisa akapishana na Maofisa magereza wama Nyota 2 wale nadhanii hakuwapigia salute wala nini kapita mkavuu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa walianza kujiongelesha yani hawa Jw wanajiona wao ndo wao kama huyu katupita bila hata kubana mikono acha salute..
 
Tanzania tuna defence force tu, sio army Wala military.

Kuna kiwango maalumu Cha kikundi Cha askari kuitwa Army au Military sifa ambayo Tz hatuna shubaamiti.
Defence force ni nini?
Tz tuna jeshi moja tu. Ambalo ni jeshi la wananchi.
Mengine yote ni paramilitary sio full military kama jeshi la wananchi
 
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.

Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Jeshi ni moja , JWTZ, au TPDF.
Mengine si majeshi halisia bali majeshi ya utawala na ku control uraia.
 
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.

Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Huwa hatumalii...anaitwa mkuu wa majeshi la wananchi na kujenga taifa..(jkt)
 
Umeuliza kwa lengo la kujifunza au kuonesha kuwa unao uelewa kuliko maoni yangu?! Kumbuka maoni yanaweza kupingwa kwa maoni. Asante kwa mchango.
Unajua hii sio app ya chumbani, once ukiandika maoni kwenye public forum Ina maana upo tayari kuwa criticized, challenged na kupongezwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Usikimbie jibu swali, kupitia humo tutajifunza, utajifunza, utafunzwa na utafunza sioni haja ya mtu kukimbia.

N.B huwenzi kufunza bila kufunza, karibu Mwalimu
 
Kesheria jeshi ni moja tu. Ni jeshi la wananchi
Mengine ni paramilitaries kama police, uhamiaji, maliasil
Tutajie hiyo sheria[emoji16][emoji16][emoji16]

Tofautisha sheria na mazoea yaliyotokana na Utamaduni wa kikoloni.

Pia Kuna kitu kinaitwa division na specialization.

Ulitaka polisi waendeshe kifaru kumkimbiza mwizi wa kuku
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya askari na mwanajeshi? Huwa nasikia wengine wanaita askari wa jeshi la... kwa nini hawasemi mwanajeshi au polisi tu?!
MAJESHI; hakuna wengine wanaotumia neno hilo zaidi ya JWTZ. Hakuna majeshi ya polisi, wala ya magereza, wala ya UHAMIAJI; it's only and only JWTZ.

Do you know the meaning of verbosity? Using too many words unnecessarily for something which is clear with a few words. Verbosity is something to avoid not to entertain.
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya askari na mwanajeshi? Huwa nasikia wengine wanaita askari wa jeshi la... kwa nini hawasemi mwanajeshi au polisi tu?!
Sijui Mkuu ila mwanajeshi ina-apply kwa JWTZ while askari ni kwa wote. Sio kila askari ni mwanajeshi.
 
Back
Top Bottom