Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
La hapa ni army au military??Jeshi/Army/Millitary ni moja hao wengine vikosi vya wahuni tu.
Nailed it...Yule ni mkuu wa majeshi ya ulinzi,
Polisi na wengine ni majeshi ya Usalama.
Ndiyo maana Rais ni Amri mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
Ha ha ha ha ha mkuu unimechekesha sanaaaHao akina wambura na mzee ni wanamgambo kama wale wa taliban.
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.
Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Tanzania tuna defence force tu, sio army Wala military.Jeshi/Army/Millitary ni moja hao wengine vikosi vya wahuni tu.