Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

Mkuu wa Majeshi ndio Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa Taifa ( national defense council) ; na katika hali ya Vita au dharura command inatoka kwake… au kwenye operesheni za pamoja
Wakati huo Mkuu wa nchi(Rais) anakuwa nani kwenye hiyo kamati. Acheni upotoshaji kwa story za vijiwe vya magazeti

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.

Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Nijuavyo mimi hao wengine wote wanaripoti kwa CDF kwa ajili ya compilation ya taarifa zao

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Nijuavyo mimi hao wengine wote wanaripoti kwa CDF kwa ajili ya compilation ya taarifa zao

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Acha upotoshaji, kila mmoja ana report kwa Mamlaka iliyomteua. Hiyo inafanyika kwakuwa kila mmoja ana majukumu yake na hawaingiliani katika majukumu. Hicho unachosema hakipo.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mimi niwe polisi kudadeki walahi
Dogo jibu hoja, au sisi raia haturuhusiwi kujadili
basi ombeni mods muwe na kajukwaa kenu.

Wengi humu naona hamuwezi tetea au kuelewa.
najibu hoja kama ifuatavyo: ulitaka polisi aendeshe kifaru kwenda kumkamata mwizi wa kuku, au kakibaka wa mtaaani, hiyo hoja yako ya siraha nzito mbona haina mashiko.
Unachogundua hiyo ni specialization and division.

Light infantry soldier huwa wanatembea na missiles?
Kusimama kwake pale ni kwa sababu yeye ndie mwenyekiti wa vyombo vya ulinzi na usalama kijana au ulitaka spymaster na mwenyewe awepo.
 
Haya nipe kirefu cha TpDf kwa kiingereza, halafu niambie kwa nini imemalizia Force mwishoni?
kwa hiyo ni jeshi au kikosi
 
We bwashee wewe
Kajifunze upya kwanza maana hata ulicho andika hakiconcile na maana yake.
Sasa Tanzania tuna Force tu, kwa hiyo ni vikosi tu?
 
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.

Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?

Mkuu wa majeshi ya ulinzi, siyo mkuu wa majeshi!
 
Acha upotoshaji, kila mmoja ana report kwa Mamlaka iliyomteua. Hiyo inafanyika kwakuwa kila mmoja ana majukumu yake na hawaingiliani katika majukumu. Hicho unachosema hakipo.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Huu uzi sikutakiwa kuuingilia hata kidogo bora ningebaki kule kwa rikiboy kula tunda kimasikhara ila upotoshaji umekuwa mwingi sana.

ukifatilia sheria za kila chombo jinsi kilivyoundwa unagundua ni independent na kina report moja kwa moja kwa amiri jeshi mkuu na majukumu yao hayaingiliani.

ila wengi utaona wanatoa stori za vijiweni tu
 
Mkuu wa Majeshi ndio Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa Taifa ( national defense council) ; na katika hali ya Vita au dharura command inatoka kwake… au kwenye operesheni za pamoja
kwenye National security Council kwa ngazi ya Kitaifa mwenyekiti ni Amiri jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na Usalama ambaye ni raisi wa nchi.

katibu wa National security council ni Katibu mkuu kiongozi

wajumbe ni kutoka majeshi yafuatayo; TPDF
TISS
UT
PT
MT
SASA mkuu hiyo sheria yako ni ya mwaka gani na imetungwa wapi?
 
As long as wanaitwa force basi hawana tofauti na fire and rescue[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Tofauti Yao ni majukumu tu
Tupe tofauti kati ya Military , Army na Defense Forces bila kugoogle.
 
Tupe tofauti kati ya Military , Army na Defense Forces bila kugoogle.
ulivyozaliwa ulikuwa ghafla tu ukajua kusoma na kuandika au ulipelekwa shule ndio ukafundishwa kujua kusoma na kuandika.
 
Jw huwa wanawaogopa Polisi ccm
 
Prof. .
 
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.

Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
Mkuu wa Majeshi Yafuatayo:
1. Majeshi ya Anga - AirForce
2. Majeshi la Majini - NavyForce
3. Majeshi ya Ardhini - LandForce

Wengne ni
1. IGP - TPF
2. DGIS - TISS
3. CGP - TPS
4. CGI - Uhamiaji
5. CGF - Fire & Rescue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…