ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Wakati huo Mkuu wa nchi(Rais) anakuwa nani kwenye hiyo kamati. Acheni upotoshaji kwa story za vijiwe vya magazetiMkuu wa Majeshi ndio Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa Taifa ( national defense council) ; na katika hali ya Vita au dharura command inatoka kwake… au kwenye operesheni za pamoja
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app