MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Kwanza hakuna neno majeshi ya anga, majini au ardhini,Mkuu wa Majeshi Yafuatayo:
1. Majeshi ya Anga - AirForce
2. Majeshi la Majini - NavyForce
3. Majeshi ya Ardhini - LandForce
Wengne ni
1. IGP - TPF
2. DGIS - TISS
3. CGP - TPS
4. CGI - Uhamiaji
5. CGF - Fire & Rescue
bali kwa waswahili wanasema:
jeshi la wanamaji
jeshi la anga
jeshi la Ardhini
pili umetumia sheria ipi kuwaweka wote hapo? Nadhani tatizo ni lile lile elimu kwa Watanzania na nyie walinzi wetu.
Tatu kwenye sheria hakuna zimamoto na uokoaji, ila anaweza kualikwa kama expert kwenye masuala ya majanga na moto, Tra kwenye mauala ya makusanyo, Bot kwenye masuala ya uchumi na banking