Kwanini CDF mpya bado hajatangazwa?

Kwanini CDF mpya bado hajatangazwa?

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi.

Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi.

Kwanini mpaka sasa hivi haijatangazwa mrithi wa Mabeyo?
 
Kwani uzoefu kwa Bongo ukoje?
 
Kwa mujibu wa protokali Tanzani inakuwa na CDF mmoja tu, hivyo huwezi kutangaza mwingine wakati aliyepo hajaondoka. The same happened wakati Magufuli alipomtengua Mkuwa Usalama wa taifa, alitengua na kumtangaza Diwani na akaapishwa siku hiyo hiyo fasta...
 
ACHA KAIMU WAKE ALAMBE ASALI KIDOGO

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi.

Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi.

Kwanini mpaka sasa hivi haijatangazwa mrithi wa Mabeyo?
Sasa hili linakuhusu nini? Atangazwe asitangazwe itatupunguzia nini au kutuongezea nini? Yaani wabongo mna ujuaji wa kishamba kweli kweli
 
Kwa mujibu wa protokali Tanzani inakuwa na CDF mmoja tu, hivyo huwezi kutangaza mwingine wakati aliyepo hajaondoka. The same happened wakati Magufuli alipomtengua Mkuwa Usalama wa taifa, alitengua na kumtangaza Diwani na akaapishwa siku hiyo hiyo fasta...
Akitangazwa kwenye mwezi wa mwisho kabla ya wa sasa kustaafu wala haimaanishi kwamba watakuwa wawili.

Barua za uteuzi huwa zinasema uteuzi huu unaanza mara moja au tarehe ya mbele na hata ya nyuma tumewahi kuona.
 
Sasa hili linakihusu nini? Atangazwe asitangazwe itatupunguzia nini au kutuongezea nini? Yaani wabongo mna ujuaji wa kishamba kweli kweli
Kwanini mawazo yako yanakuelekeza kuamini kwamba kuuliza ni ujuaji wa kishamba?
 
Unamuuliza nani akupe majibu sahihi JF? Si nenda ofisi ya mambo ya ndani ukaulize na uwaambie unataka kujua ili iwe nini? Acha ushamba na ujuaji wa kipuuzi namna hiyo,mada zingine hata hazisaidii pamoja na kwamba kuna uhuru wa mtu kutoa maoni yake
 
Back
Top Bottom