Hiki unachokiuliza ulikiona lini hapa nchini hadi iwe news kwa leo? Mambo mengine tuwe tunayaacha tu siyo kukaa tu nyuma ya 'kibodi' na kuandika tu...🙏🙏🙏Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi.
Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi.
Kwanini mpaka sasa hivi haijatangazwa mrithi wa Mabeyo?