Kwanini CDF mpya bado hajatangazwa?

Kwanini CDF mpya bado hajatangazwa?

Akitangazwa kwenye mwezi wa mwisho kabla ya wa sasa kustaafu wala haimaanishi kwamba watakuwa wawili.

Barua za uteuzi huwa zinasema uteuzi huu unaanza mara moja au tarehe ya mbele na hata ya nyuma tumewahi kuona.
Hiyo sio kampuni ya mkonge
 
Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi.

Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi.

Kwanini mpaka sasa hivi haijatangazwa mrithi wa Mabeyo?

So far umeathirika vipi na hiyo hali?
 
Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi.

Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi.

Kwanini mpaka sasa hivi haijatangazwa mrithi wa Mabeyo?
Bado anatafutwa muislam mwenye sifa na vigezo
 
Unamuuliza nani akupe majibu sahihi JF? Si nenda ofisi ya mambo ya ndani ukaulize na uwaambie unataka kujua ili iwe nini? Acha ushamba na ujuaji wa kipuuzi namna hiyo,mada zingine hata hazisaidii pamoja na kwamba kuna uhuru wa mtu kutoa maoni yake
Mkuu point of correction. CDF hahusiki na ofisi ya mambo ya mdani. Mengine uko sahihi
 
Back
Top Bottom