Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Unataka wawe wawili?Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi...
Kwani uzoefu kwa Bongo ukoje?Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi.
Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi.
Kwanini mpaka sasa hivi haijatangazwa mrithi wa Mabeyo?
ACHA KAIMU WAKE ALAMBE ASALI KIDOGOKitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi.
Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi.
Kwanini mpaka sasa hivi haijatangazwa mrithi wa Mabeyo?
Kutangaza kwamba atarithi kuanzia tarehe ya huyu kustaafu watakuwa wawili?Unataka wawe wawili?
Sasa hili linakuhusu nini? Atangazwe asitangazwe itatupunguzia nini au kutuongezea nini? Yaani wabongo mna ujuaji wa kishamba kweli kweliKitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi.
Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi.
Kwanini mpaka sasa hivi haijatangazwa mrithi wa Mabeyo?
Una haraka gani?Kutangaza kwamba atarithi kuanzia tarehe ya huyu kustaafu watakuwa wawili?
Akitangazwa kwenye mwezi wa mwisho kabla ya wa sasa kustaafu wala haimaanishi kwamba watakuwa wawili.Kwa mujibu wa protokali Tanzani inakuwa na CDF mmoja tu, hivyo huwezi kutangaza mwingine wakati aliyepo hajaondoka. The same happened wakati Magufuli alipomtengua Mkuwa Usalama wa taifa, alitengua na kumtangaza Diwani na akaapishwa siku hiyo hiyo fasta...
Kwanini mawazo yako yanakuelekeza kuamini kwamba kuuliza ni ujuaji wa kishamba?Sasa hili linakihusu nini? Atangazwe asitangazwe itatupunguzia nini au kutuongezea nini? Yaani wabongo mna ujuaji wa kishamba kweli kweli
Pascal Mayalla anaweza kusaidia.Kwani uzoefu kwa Bongo ukoje?
Sina haraka. Nilichonacho ni hilo swali.Una haraka gani?
Kwanini?Basi rithi wewe
Tulifahamu mrithi wa Rangnick pale Man Utd wakati ligi inaendelea ingawa anaanza kazi baadae sana.Hivi Unadhani CDF ni kama nafasi ya Haji Manara ?
Unalinganisha man u na TPDF duuTulifahamu mrithi wa Rangnick pale Man Utd wakati ligi inaendelea ingawa anaanza kazi baadae sana.
Unamuuliza nani akupe majibu sahihi JF? Si nenda ofisi ya mambo ya ndani ukaulize na uwaambie unataka kujua ili iwe nini? Acha ushamba na ujuaji wa kipuuzi namna hiyo,mada zingine hata hazisaidii pamoja na kwamba kuna uhuru wa mtu kutoa maoni yakeKwanini mawazo yako yanakuelekeza kuamini kwamba kuuliza ni ujuaji wa kishamba?