Kwanini CDF mpya bado hajatangazwa?

Hiki unachokiuliza ulikiona lini hapa nchini hadi iwe news kwa leo? Mambo mengine tuwe tunayaacha tu siyo kukaa tu nyuma ya 'kibodi' na kuandika tu...🙏🙏🙏
 
Akitangazwa kwenye mwezi wa mwisho kabla ya wa sasa kustaafu wala haimaanishi kwamba watakuwa wawili.

Barua za uteuzi huwa zinasema uteuzi huu unaanza mara moja au tarehe ya mbele na hata ya nyuma tumewahi kuona.
Bro Jeshi haliendi hivyo usidhani ile nafasi ni ya kisiasa. Haina mihemko wala haihitaji mbwembwe
 
Lile ni jeshi lina taratibu zake. Mostly hawafanyi kazi in public. Si lazima ujue mchakato wao si taasisi ya kiraia
 
Jeshi ni mali ya umma na mchakato kama wa kumpata mkuu wa Jeshi ulipaswa kueleweka kwa umma.
Linaitwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Lile ni jeshi lina taratibu zake. Mostly hawafanyi kazi in public. Si lazima ujue mchakato wao si taasisi ya kiraia
 
Wanasubiri Kwanza wanaotakiwa kuwa CDF wamalize kutoka kwa Waganga Wao wa Kienyeji huko walikoenda Wamtangaze.
 
Una umri gani hapa tanzania kwanza halafu ndo upate majibu
 
Atatangazwa tarehe 01/07/2022 na ataapishwa siku inayofuata. Transition jeshini haina shida itafanyika smoothly tu.
 
Jeshi ni mali ya umma na mchakato kama wa kumpata mkuu wa Jeshi ulipaswa kueleweka kwa umma.
Linaitwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Mkuu umeandika kwa akili kubwa sana.
 
Hiki unachokiuliza ulikiona lini hapa nchini hadi iwe news kwa leo? Mambo mengine tuwe tunayaacha tu siyo kukaa tu nyuma ya 'kibodi' na kuandika tu...🙏🙏🙏
Umeuwekea mipaka ufahamu wako. Swali langu lina mantiki kubwa sana.
 
Unamuuliza nani akupe majibu sahihi JF? Si nenda ofisi ya mambo ya ndani ukaulize na uwaambie unataka kujua ili iwe nini? Acha ushamba na ujuaji wa kipuuzi namna hiyo,mada zingine hata hazisaidii pamoja na kwamba kuna uhuru wa mtu kutoa maoni yake
Ukikua mkubwa utaanza kuelewa maswali ya kikubwa. Jitahidi ule mlo kamili ili uboreshe afya ya akili.
 
CAG
 
Huenda inasubiriwa siku ya kustafu rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…