Wizara ya Ulinzi na JKT sio mambo ya ndaniUnamuuliza nani akupe majibu sahihi JF? Si nenda ofisi ya mambo ya ndani ukaulize na uwaambie unataka kujua ili iwe nini? Acha ushamba na ujuaji wa kipuuzi namna hiyo,mada zingine hata hazisaidii pamoja na kwamba kuna uhuru wa mtu kutoa maoni yake
Hiyo sio kampuni ya mkongeAkitangazwa kwenye mwezi wa mwisho kabla ya wa sasa kustaafu wala haimaanishi kwamba watakuwa wawili.
Barua za uteuzi huwa zinasema uteuzi huu unaanza mara moja au tarehe ya mbele na hata ya nyuma tumewahi kuona.
Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi.
Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi.
Kwanini mpaka sasa hivi haijatangazwa mrithi wa Mabeyo?
Hali ipi?So far umeathirika vipi na hiyo hali?
Iko wapi?Tayari
Bado anatafutwa muislam mwenye sifa na vigezoKitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi.
Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi.
Kwanini mpaka sasa hivi haijatangazwa mrithi wa Mabeyo?
Sidhani kama jeshini kunatakiwa kuwa na siasa za dini kama huku kwenye siasa zenyewe.Bado anatafutwa muislam mwenye sifa na vigezo
kwanini?Sidhani kama jeshini kunatakiwa kuwa na siasa za dini kama huku kwenye siasa zenyewe.
Sheikh ponda anafaaa????Bado anatafutwa muislam mwenye sifa na vigezo
Hana sifa Na vigezoSheikh ponda anafaaa????
Udini utawatia shomoni kwa ujinga wenu
DuuuhHivi Unadhani CDF ni kama nafasi ya Haji Manara ?
MKUU HII NI FIRST NAME AU SIR NAME YA MTARAJIWA MTEULE ?Atakua Shekhe lazima
Ile ni taalumakwanini?
Mkuu point of correction. CDF hahusiki na ofisi ya mambo ya mdani. Mengine uko sahihiUnamuuliza nani akupe majibu sahihi JF? Si nenda ofisi ya mambo ya ndani ukaulize na uwaambie unataka kujua ili iwe nini? Acha ushamba na ujuaji wa kipuuzi namna hiyo,mada zingine hata hazisaidii pamoja na kwamba kuna uhuru wa mtu kutoa maoni yake