Kwanini celebrities wengi Tanzania hawampi support Diamond??

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Nimekuwa nikifuatilia kazi nyingi sana anazifanya Fanya Diamond platnumz amekuwa hapati Support kubwa toka kwa wasanii wenzie na watu wengine maarufu tofauti na wasanii wengine Je hii ni kwanini??

Kazi nyingi Mashabiki na Team zake ndio wamekuwa wakimsaupport sana hata kupost kwenye mitandao mingi ya kijamii pamoja Na Ma Ex wake lakini watu wengine maarufu wamekuwa wazito sanaaa kumsupport Diamond Je ni kwanini???

Akitoa wimbo Jux support anayopata toka kwa wasaniii wenzie ni kubwaa kuliko anayopata Diamond akitoa wimbo. Mfano African Beauty Ni kama wasanii 10 au Chini ya hapoo Ndio walio post kazi hiyo hata album yake ni kama wasanii 8 tuu wamepost Je hii ni kwanini?
 
Diamond hajagombana na media ila media ndio zimegombana na yeye...Yeye alichokosea ni kusimamia maslahi ya biashara zake, angefata utaratibu wao wa biashara angekuwa kipenzi chao kama nandy au aslay..yeye alichosema imetosha
Mi sja pinga
Ndio naiangalia hiyo picha itaishaje hapa
 
Nimekuwa nikifuatilia kazi nyingi sana anazifanya Fanya Diamond platnumz amekuwa hapati Support kubwa toka kwa wasanii wenzie na watu wengine maarufu tofauti na wasanii wengine Je hii ni kwanini??

Kazi nyingi Mashabiki na Team zake ndio wamekuwa wakimsaupport sana hata kupost kwenye mitandao mingi ya kijamii pamoja Na Ma Ex wake lakini watu wengine maarufu wamekuwa wazito sanaaa kumsupport Diamond Je ni kwanini???

Akitoa wimbo Jux support anayopata toka kwa wasaniii wenzie ni kubwaa kuliko anayopata Diamond akitoa wimbo. Mfano African Beauty Ni kama wasanii 10 au Chini ya hapoo Ndio walio post kazi hiyo hata album yake ni kama wasanii 8 tuu wamepost Je hii ni kwanini?
Jux anasapotiwa na wengi ila ana nini cha kumzidi hata aslay au ney wa mitego??

Wabongo wanapenda kubeba wagonjwa na maiti ila walio hai huachwa watembee wenyewe.
 
Wanatetea ugali wao kwa Ruge, wampost Diamond alafu wakose show za Clouds, wasanii wa bongo hawako huru ukitaka kujua yanayoendelea sikikiza wimbo wa Nash Mc unaitwa 'maneno' ameeleza kila kitu
 
Back
Top Bottom