ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Nimekuwa nikifuatilia kazi nyingi sana anazifanya Fanya Diamond platnumz amekuwa hapati Support kubwa toka kwa wasanii wenzie na watu wengine maarufu tofauti na wasanii wengine Je hii ni kwanini??
Kazi nyingi Mashabiki na Team zake ndio wamekuwa wakimsaupport sana hata kupost kwenye mitandao mingi ya kijamii pamoja Na Ma Ex wake lakini watu wengine maarufu wamekuwa wazito sanaaa kumsupport Diamond Je ni kwanini???
Akitoa wimbo Jux support anayopata toka kwa wasaniii wenzie ni kubwaa kuliko anayopata Diamond akitoa wimbo. Mfano African Beauty Ni kama wasanii 10 au Chini ya hapoo Ndio walio post kazi hiyo hata album yake ni kama wasanii 8 tuu wamepost Je hii ni kwanini?