Kwanini CHADEMA au Tundu Lissu wana ukaribu sana na Ubelgiji?

Kwanini CHADEMA au Tundu Lissu wana ukaribu sana na Ubelgiji?

Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa TL ,lakini kihistoria Belgium hajawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Africa

Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CDM/TL na ubeligiji ?
Kumeokoa maisha ya wahanga wa halifu za karanðinga zinazo zurura.
 
Nimekuja na hoja njoo na hoja acha kunishambulia unajua sababu za kuuwawa kwa Patrice Lumumba?!

Unajua hata sababu za Cold War?!
After all Belgium walikuwa wanashilikiana na Tshombe ku access sehemu zenye madini , Patrice Lumumba akaona aombe msaada Soviet union kitu ambacho hakimfurahisha USA , wanashilikiana kumuondoa lumumba . Sijaona kosa la Lumumba mpaka akastahili kuuawa
 
Unataka kusema mtu akiwa tofauti na mtazamo wako ni sahihi kumuua ?
Katika Siasa za wakati huo wa Cold War Ubelgiji ikiwa kama Nchi ya Ulaya Magharibi isingeweza kumkabidhi Koloni la Congo Free State Lumumba mwenye mrengo wa Siasa za Mashariki na USSR.

Je nafurahia kile kitendo? Hata siku moja ila kukumbushana Historia ni jambo jema kama Member wa humu.
 
Back
Top Bottom