Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
- Thread starter
- #21
China ni lini alikuwa adui wa waafrika?CCM na China![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China ni lini alikuwa adui wa waafrika?CCM na China![]()
Sasa kwa namna ulivyoandika hapa ni kwamba kuwa mkomunist ni kosaWalikuwa wanamuondoa Mkomunisti.
Katika Siasa za wakati huo wa Cold War Ubelgiji ikiwa kama Nchi ya Ulaya Magharibi isingeweza kumkabidhi Koloni la Congo Free State Lumumba mwenye mrengo wa Siasa za Mashariki na USSR.
Je nafurahia kile kitendo? Hata siku moja ila kukumbushana Historia ni jambo jema kama Member wa humu.
belgium ndio engineer wa vita vya wenyewe kwa wenyew africa hata rwanda yeye ndio muhusika mkubwa wakuwagawanya wahutu na watutsi, congo yupo pia ni watu wa devide and rule tacticBinafsi ni mfuasi mkubwa sana wa Tundu Lissu, lakini kihistoria Ubelgiji haijawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Afrika
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CHADEMA/Tundu Lissu na Ubelgiji ?
Na Pia kuna Patrice Lumumba University of Moscow Russia.Mkuu hebu pitia hii maada kuna vitu utavielewa How did Patrice Lumumba die? | Britannica
Wakomunisti ni waharibifu na ni chaka la kujifichia Madikteta.Sasa kwa namna ulivyoandika hapa ni kwamba kuwa mkomunist ni kosa
muungwana si kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi 🐒Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa Tundu Lissu, lakini kihistoria Ubelgiji haijawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Afrika
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CHADEMA/Tundu Lissu na Ubelgiji ?
Acha uongo bintiWala usishtuke Belgium kule ni mbinde tu,
Huyu angepewa hifadhi yakueleweka hakyanani usingemuona anapigizana makelele bongo hapo.
Status yake kule ni mkimbizi km wakimbizi wengine aliowakuta.
Toka Congo,Rwanda, Burundi,Iraq,Iran etc acha huko west Africa.
Kaona chenga kule ndo mana kaja kubagazana na uenyekiti ili wale wote sawa.
Hakuna mwanasiasa mwenye hila kama huyu jamaa.
Pia ubeleji ni dungeon/den ya ma-spy dunia nzima. Wako hapo kwa maelfu kama sio malaki. Wa nchi mbalimbali na wa kukodiwa kwa mission maalum.Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa Tundu Lissu, lakini kihistoria Ubelgiji haijawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Afrika
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CHADEMA/Tundu Lissu na Ubelgiji ?
Sio kweliWakomunisti ni waharibifu na ni chaka la kujifichia Madikteta.
Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa Tundu Lissu, lakini kihistoria Ubelgiji haijawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Afrika
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CHADEMA/Tundu Lissu na Ubelgiji ?
Pia ubeleji ni dungeon/den ya ma-spy dunia nzima. Wako hapo kwa maelfu kama sio malaki. Wa nchi mbalimbali na wa kukodiwa kwa mission maalum.
Kazi zote safi na chafu zinasukwa hapo. Ukitaka silaha halali au haramu, ni hapo.
Panawavuta sana kwa sababu ni makao makuu ya jumuiya ya Ulaya, kila taifa linapeleka ma spy wake hapo, iwe taifa la Ulaya, au nchi yenye balozi hapo jumuiya.
Kwa hiyo hata Lissu asiaminiwe asilani, ameshakuwa cloned
Mbona huja tueleza huo urafiki unao kusumbua akili wewe upoje?Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa Tundu Lissu, lakini kihistoria Ubelgiji haijawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Afrika
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CHADEMA/Tundu Lissu na Ubelgiji ?
Wewe eti ni mfuasi wa Lissu na hujui kama Lissu alienda Belgium akiwa hoi kwenye kitanda cha wagonjwa na drip toka hospital ya Nairobi baada ya shambulio la risasi 16 mwilini mwake huko Dodoma. Kuna matukio mawili yaliyoitambulisha zaidi Belgium kwa Watanzania, shambulio la Lissu na Mbwana Samata kusajiliwa huko. Kabla ya hayo sio watanzania wengi waliifuatilia hasa wasiojishughulisha na habari za kimataifa.Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa Tundu Lissu, lakini kihistoria Ubelgiji haijawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Afrika
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CHADEMA/Tundu Lissu na Ubelgiji ?
Nenda Korea ya Kaskazini ukaabudu Dikteta.Sio kweli
Tundu Antipas Lissu ni Ishara na kielelezo halisi cha mabadiliko. Katika siasa zake amekuwa na muelekeo unaoeleweka (CONSISTENCY FOR THE LAST 20 YEARS).Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa Tundu Lissu, lakini kihistoria Ubelgiji haijawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Afrika
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CHADEMA/Tundu Lissu na Ubelgiji ?
Time, we ain't living in the past. Belgium ya King Leopold si Belgium ya leo ambayo Brussels ni Headquarters ya EU.Wote tunachukia maovu ya CCM , swali la msingi mtu ambae alikuwa adui wa afrika sasa hivi kabadilika kuwa rafiki ?
Unaanza matusi?Acha uongo binti
After all Belgium walikuwa wanashilikiana na Tshombe ku access sehemu zenye madini , Patrice Lumumba akaona aombe msaada Soviet union kitu ambacho hakimfurahisha USA , wanashilikiana kumuondoa lumumba . Sijaona kosa la Lumumba mpaka akastahili kuuawa
Uko sahihi kabisa, Lissu kuna kitu anakitafuta tu.Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa Tundu Lissu, lakini kihistoria Ubelgiji haijawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Afrika
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CHADEMA/Tundu Lissu na Ubelgiji ?