Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Wote tunachukia maovu ya CCM , swali la msingi mtu ambae alikuwa adui wa afrika sasa hivi kabadilika kuwa rafiki ?Ni Kwa sababu Belgium wanachukia maovu ya ccm ya kuteka na kuua watanzania kama walivyomuua mzee kibao
Kumeokoa maisha ya wahanga wa halifu za karanðinga zinazo zurura.Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa TL ,lakini kihistoria Belgium hajawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Africa
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CDM/TL na ubeligiji ?
Kama ccm ilivyo karibu na China.Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa TL ,lakini kihistoria Belgium hajawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Africa
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CDM/TL na ubeligiji ?
Walikuwa wanamuondoa Mkomunisti.Belgium kwa kushirikiana na mabeberu wengine walimuondoa Lumumba patrice RIP
Amsterdam ni mutu ya wapi?Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa TL ,lakini kihistoria Belgium hajawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Africa
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CDM/TL na ubeligiji ?
Ana urafiki na Ubelgiji yote au na baadhi ya watu?Wote tunachukia maovu ya CCM , swali la msingi mtu ambae alikuwa adui wa afrika sasa hivi kabadilika kuwa rafiki ?
Mutu ya mtaa wa mboga mbogaAmsterdam ni mutu ya wapi?
Ni kwa sababu ya ushetani wa CCM!Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa TL ,lakini kihistoria Belgium hajawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Africa
Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CDM/TL na ubeligiji ?
Vilaza wa jfWalikuwa wanamuondoa Mkomunisti.
Nimekuja na hoja njoo na hoja acha kunishambulia unajua sababu za kuuwawa kwa Patrice Lumumba?!Vilaza wa jf
Unataka kusema mtu akiwa tofauti na mtazamo wako ni sahihi kumuua ? Walishambulia lissu kwa sababu ya mtazamo tofauti wa mambo walikuwa sahihi ?Nimekuja na hoja njoo na hoja acha kunishambulia unajua sababu za kuuwawa kwa Patrice Lumumba?!
Unajua hata sababu za Cold War?!
After all Belgium walikuwa wanashilikiana na Tshombe ku access sehemu zenye madini , Patrice Lumumba akaona aombe msaada Soviet union kitu ambacho hakimfurahisha USA , wanashilikiana kumuondoa lumumba . Sijaona kosa la Lumumba mpaka akastahili kuuawaNimekuja na hoja njoo na hoja acha kunishambulia unajua sababu za kuuwawa kwa Patrice Lumumba?!
Unajua hata sababu za Cold War?!
Mkuu hebu pitia hii maada kuna vitu utavielewa How did Patrice Lumumba die? | BritannicaWalikuwa wanamuondoa Mkomunisti.
Katika Siasa za wakati huo wa Cold War Ubelgiji ikiwa kama Nchi ya Ulaya Magharibi isingeweza kumkabidhi Koloni la Congo Free State Lumumba mwenye mrengo wa Siasa za Mashariki na USSR.Unataka kusema mtu akiwa tofauti na mtazamo wako ni sahihi kumuua ?