Kwanini CHADEMA au Tundu Lissu wana ukaribu sana na Ubelgiji?

Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa Tundu Lissu, lakini kihistoria Ubelgiji haijawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Afrika

Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CHADEMA/Tundu Lissu na Ubelgiji ?
Maamuzi makubwa ya ulimwengu wa nchi za Ulaya yanayogusa Africa ,serikali za Africa, in political, economic context yanaamuliwa pale collectively.

Kwanini? Kwasababu ni makao makuu ya Bunge la Europian union.


Economic sanctions kwa VIONGOZI uchwara, wa tawala za kiimla za Africa pale ndio kama mahakama.

Wabunge wa Europian union ,kamati za bunge la Europian union ziko pale Ubeligiji ,

Ni mahali pazuri kuzishtaki nchi yaani kupeleka malalamiko concern,kupeleka petition ambazo hufanya nchi za madikiteta uchwara zipate shinikizo la kutekeleza Haki za binadamu na utawala bora.

Ni hilo tu, TUAMBIE WEWE KUHUSU HANGAYA kwa Nini anenda sana UARABUNI??

Kuna nini nyuma yake??
 
Binafsi ni mfuasi mkubwa sana wa Tundu Lissu, lakini kihistoria Ubelgiji haijawahi kuwa rafiki wa kweli wa Mashujaa wa Afrika

Ni nini kipo nyuma katika huu urafiki wa CHADEMA/Tundu Lissu na Ubelgiji ?
Kwa hiyo rafiki wa Tanzania/Africa ni China siyo?
Ignorance is bliss.
 
Hivi kwanini maamuzi makubwa ya Africa yaamuliwe ulaya ?
 
Mimi na hangaya wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…