SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nendeni kuzimu kwa mungu wenu wa chato mkashitaki. Hii staili huku Chadema tunaiita twanga kotekote,mtatuelewa tuChadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi wapewe wao?
Hizi ni tabia za kidikteta, wamezianza mapema kabla ya kukabidhiwa nchi, wakikabidhiwa nchi, ukashitakiana na Chadema lazima ushindwe.
Ndio maana sioni umuhimu wa katiba mpya wanayodai.