SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nendeni kuzimu kwa mungu wenu wa chato mkashitaki. Hii staili huku Chadema tunaiita twanga kotekote,mtatuelewa tuChadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi wapewe wao?
Hizi ni tabia za kidikteta, wamezianza mapema kabla ya kukabidhiwa nchi, wakikabidhiwa nchi, ukashitakiana na Chadema lazima ushindwe.
Ndio maana sioni umuhimu wa katiba mpya wanayodai.
Kwani hadi sasa nani analia kama siyo nyie sukuma Gang ambao mko nje ya huu mchezo.CCM ni makocha wachezaji katika staili hiyo, msianze kulia tu muda si mrefu, hakuna anayejinyonga mwenyewe
Mbowe hakuachiwa na mahakama bwege wewe! Mbowe amekimbiwa na DPP kwa kusema haoni sababu ya kuendelea na kesi!Hiyo mahakama ya wahuni ndiyo ilimuachia Mbowe?
..Bawacha hawajaandamana kwenda Mahakamani na kuishinikiza.
..Kwa msingi huo hawajaiingilia mahakama kama unavyodai.
Unajua tuna watu wao wanajibu bila kufanya utafiti na hawana uwezo wa kujifunza tena. Yaani wamekwama.Ilimuachia au DPP aliondoa kesi?. Uwe unaelewa unachoongea. Tanzania hakuna mahakama.
Tumia akili ya kuzaliwa ndg, kwn Bawacha waliandamana kwenda mahakamani???Hiyo mahakama ya wahuni ndiyo ilimuachia Mbowe?
Hivi suala/kesi/shauri lolote likiwa mahakamani wengine wanapaswa kufanya nini?
Wapi ambapo wameikataa hukumu ya mahakama? Kuitaka mahakama iendeshe kesi kwa muda muafaka si kuingilia uhuru wa mahakama ndiyo sababu viongozi na raia wote wamekua wakiilalamikia mahakama kwa kusuasua kuendesha kesi, kesi kuchukua zaidi ya miaka minne ni udhaifu mkubwa sana.Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi wapewe wao?
Hizi ni tabia za kidikteta, wamezianza mapema kabla ya kukabidhiwa nchi, wakikabidhiwa nchi, ukashitakiana na Chadema lazima ushindwe.
Ndio maana sioni umuhimu wa katiba mpya wanayodai.
Yaani waache kusikiliza kesi za mauaji, za biashara, wahangaike na watu wanaotaka vyeo vya watuWapi ambapo wameikataa hukumu ya mahakama? Kuitaka mahakama iendeshe kesi kwa muda muafaka si kuingilia uhuru wa mahakama ndiyo sababu viongozi na raia wote wamekua wakiilalamikia mahakama kwa kusuasua kuendesha kesi, kesi kuchukua zaidi ya miaka minne ni udhaifu mkubwa sana.
Mahakama si ghala la kutunza kesi, kinachoingia lazima kitoke haraka kisitunzwe kwa matumizi ya baadae.Yaani waache kusikiliza kesi za mauaji, za biashara, wahangaike na watu wanaotaka vyeo vya watu
Sifa ya msingi ya mtu kuwa Mbunge ni kuwa mwanachama wa chama siasa. Baada ya kufukuzwa uanachama wale wanawake 19 waliopelekwa bungeni na Mahera kinyume na utaratibu wanakoma mara moja kuwa wabunge. Kesi iliyoko mahakamani ni ya kupinga wao kuvuliwa uanachama wa Chadema; siyo ubunge! Kikatiba wao siyo wabunge tena na hilo la kuondolewa bungeni halitawazuia wao kuendelea kupigania uanachama wao. Anachofanya Spika wa Bunge ni uhuni kama ule ule uliofanywa na Mahera kuwapeleka Bungeni! Ukoo wa wahuni umekabidhi hatima ya nchi!Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi wapewe wao?
Hizi ni tabia za kidikteta, wamezianza mapema kabla ya kukabidhiwa nchi, wakikabidhiwa nchi, ukashitakiana na Chadema lazima ushindwe.
Ndio maana sioni umuhimu wa katiba mpya wanayodai.
..mahakama inatumika vibaya ktk suala hili.
..wale sio wanachama wa chama chochote hivyo hawapaswi kuwa wabunge.