Kwanini CHADEMA haikufanya uchaguzi wa viongozi mwaka 2023?

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Mara kadhaa niliona matangazo kwamba uchaguzi utakuwa mwaka 2023, nini kilitokea mpaka haukufanyika?

Mimi kama mpigakura ninapenda kuona safu mpya ya uongozi ili kuanza kwa maono mapya.
 
Uchaguzi wa kitaifa huwa 2004, 2009, 2014, na 2019 meaning mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu.

Kwa 2023 zilianza chaguzi kutokea ngazi ya chini kabisa yaani msingi hadi level za kata, jimbo, mkoa, kanda n.k ambazo zinaendelea na kilele chake ni mwaka huu mwishoni ambapo ndio mkutano mkuu utafanyika na chama kitachagua uongozi mpya wa KITAIFA!!
 
relax bas acha kupanic...

ngoja nienderee..

uchaguzi chadema ni mpaka mwenye chama aamue ufanyike lini 🐒
Ya Chadema yanakuhusu Nini hata wasipofanya kabisa uchaguzi wewe unaumia Nini umekaa kikundu juu kujadili vitu ambavyo huna faida navyo shambenga
 
relax bas kamanda mbona mbona unayaporomosha sana asubuh na mapema namna hiyo 🐒

ni kwamba uchaguzi pale chadema ni mpaka mwenye chama chake asema sasa uchaguzi ufanyike 🐒

sasa hapo kunahaja ya kuhemka na kuporomosha mitusi kweli 🐒
 
Form Moja vp hapo mwenye chama pia akisema ziwe 10 ndezi mtashangilia
 
Back
Top Bottom