Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ukishazinduka na kupata akili kamwe hauwezi kuwa kule kwingine, maana kule ni gizani na shimoni kabisa.
Sabato Njema!
Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?
Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
CCM tuna ushawishi kwa wapiga kura wote.Ukishazinduka na kupata akili kamwe hauwezi kuwa kule kwingine, maana kule ni gizani na shimoni kabisa.
Kiufupi ni kuwa chadema ni cha watu walioenda shule na TLS all of them ni elites so ni rahisi kuwa na influence huko.
Hivi kuna vyama vingine nchi hii zaidi ya CCM na CDM? 😀Kwamba vyama vingine vipo usingizini?
CCM tuna ushawishi kwa wapiga kura wote.
Hivi kuna vyama vingine nchi hii zaidi ya CCM na CDM? 😀
Mmh!
Kwa madaktari, waalimu, injinia miongoni wa Wengine siô elites?
Au ndîo Hawana elimu ya utambuzi ya raia
CCM ni chama cha watu wote. Walioenda na ambao hawajaenda shule. Inatusaidia sana kupata kura nyingi kwenye uchaguzi mkuu. CHADEMA iendelee kujikita kwa wasomi na iachane na makundi mengine wanayoona ni ya wajinga.Kiufupi ni kuwa chadema ni cha watu walioenda shule na TLS all of them ni elites so ni rahisi kuwa na influence huko.
Wanasheria wana elimu ya uraia kutokana na nature ya taaluma yao ya sheria,hakuna taaluma inayowafikia kutambua haki zao.Mmh!
Kwa madaktari, waalimu, injinia miongoni wa Wengine siô elites?
Au ndîo Hawana elimu ya utambuzi ya raia
Jibu safi kabsa, na mawakili hawapendi kuishi gizaniUkishazinduka na kupata akili kamwe hauwezi kuwa kule kwingine, maana kule ni gizani na shimoni kabisa.
Wanasheria wana elimu ya uraia kutokana na nature ya taaluma yao ya sheria,hakuna taaluma inayowafikia kutambua haki zao.
Sababu ni chama chenye watu wasomi tofauti na chama kile cha mboga mboga hakuna wasomi Kuna woongeza zero
Mkuu kwenye siasa kikubwa ni namba. CCM inaungwa mkono na makundi mengi mno yanayofanya ishinde uchaguzi kirahisi. Kura za wahadzabe peke yao ni nyingi kuliko za wanasheria wote nchini hali inayowafanya waahadzabe wawe wa muhimu kuliko wanasheria. Pia kada zote ni nyeti. Hakuna kada yenye umuhimu kuliko nyingine.Lakini kutokuwa na ushawishi Kwa wanasheria siô dalili nzuri Kwa sababu Moja ya Kada nyeti naya lazima kwèñye siasa NI Sheria.
Kukosa uungwaji mkono na wanasheria haina maana nzuri kisiasa
Siyo suala la ushawishi, Bali ni Kwa kuwa huko TLS ndiko Kwenye uchaguzi ulio huru na haki.Sabato Njema!
Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?
Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.