Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Lakini kutokuwa na ushawishi Kwa wanasheria siô dalili nzuri Kwa sababu Moja ya Kada nyeti naya lazima kwèñye siasa NI Sheria.

Kukosa uungwaji mkono na wanasheria haina maana nzuri kisiasa
Yaani Hawa walioshindwa science na kwenda arts Leo mnawaita elites...
Yaani H kunani walikuwa ndo vilaza wakati tunasoma o level na advance
 
Mnaushawishi na masikini na wachawi majimbo ya watu wenye akili kama kawe au ubungo hamuwezi shinda
Oh!! Kumbe Mo Dewj (Mwanachama wa CCM) siku hizi ni Maskini 😀 😀 😀 CHADEMA hamjui mnataka nini.
 
Moja ya sababu ni mawakili wengi mashuhuri miaka ya 1992 walijiungana siasa za upinzani mfano marehemu Dr. Lamwai, wakina Marando Srn. na wengineo.

Kwakuwa chadema ilikuja kuwa mbadala wa NCCR Mageuzi basi ikaenda na kizazi cha kina Lisu hadi sasa kumekuwa na mvuto kwa mawakili wengi hasa vijana kuzigeukia siasa za upinzani.

Ni kautamaduni tu kakutaka tuonekane
unapinda sn , ccmu si salama tena , wanufaika ndo wanafungamana na ccmu
 
Yaani Hawa walioshindwa science na kwenda arts Leo mnawaita elites...
Yaani H kunani walikuwa ndo vilaza wakati tunasoma o level na advance
Lakini Hawa vilaza wanawaa outsmart watu wa hesabu na phyicis ona sasa wamechagua mtu wanayemtaka

Juzi kati waliibuka wahuni Wana jiita association of contractors wakaitisha press wakadai wamemnunulia samia helicopter si kusikia association original zikikanusha
 
Yaani Hawa walioshindwa science na kwenda arts Leo mnawaita elites...
Yaani H kunani walikuwa ndo vilaza wakati tunasoma o level na advance

Sayansi Ipi?
Masomo ya Arts ni Muziki, kushona, kuchora, Ususi, kuchonga, Fasihi, n.k

Masomo ya sayansi yapo mengi, hesabu, fizikia, biolojia, Kemia n.k
 
Mbaya zaidi unaowaita vilaza ndio wanaokuongoza. 😀 😀 😀.

Dig Deep down kumbe wewe ndiye kilaza 😀 😀
Huna hoja ya kunifanya niendelee kukuquote, ni kupoteza muda kushindana na jeshi la wajinga wenye msimamo wa kung'ang'ania ujinga wao.
 
CHADEMA kimejitambulisha kuwa ni chama cha wasomi. Na huwa mnasema CCM imejaa wajinga wengi. Sasa hao mnaodhani ni wajinga ndo huwa wanawaumiza kwenye sanduku la kura. CHADEMA mkiacha kuwatukana wapiga kura mtafika mbali.
Yah. Kweli wale wanaowasaidia kwenye kura ni majinga. Yaani mapoliccm, manec, makurugenzi etc.
 
Mimi sikwambii Hadi nijue Nia ya swali Hilo hapo juu!!

CHADEMA imeingiaje TLS?

Huu Si upotoshaji?
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Kwani chadema bado ipo mkuu. Si meigwa anaikaanga vibaya mno na soon inafutika.
 
Back
Top Bottom