TLS huu ukubwa wanaojinadi nao ni ukubwa gani? ni watu hawana impact yoyote kwa watu hebu waweke tu hapa vitu vitatu labda waliwahi kufanya vikaleta tija kwa watu. Kimekuwa ni kikundi cha kujificha kuendesha agenda ya kikundi fulani hakuna jingine.Kiufupi ni kuwa chadema ni cha watu walioenda shule na TLS all of them ni elites so ni rahisi kuwa na influence huko.
Kwanini labda Chadema haina ushawishi katika vyama vingine Kama CWT n.k
Kwanza wanachama asilimia kubwa ya CWT ni Watumishi wa serikali tofauti na TLS ambao ni watu huru waliojiajiri.
Kitendo cha kuwa huru umejiajiri haupo chini ya serikali maana yake unaweza kuwa logically na kuleta positive impact .