Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Kiufupi ni kuwa chadema ni cha watu walioenda shule na TLS all of them ni elites so ni rahisi kuwa na influence huko.

Kwanini labda Chadema haina ushawishi katika vyama vingine Kama CWT n.k

Kwanza wanachama asilimia kubwa ya CWT ni Watumishi wa serikali tofauti na TLS ambao ni watu huru waliojiajiri.

Kitendo cha kuwa huru umejiajiri haupo chini ya serikali maana yake unaweza kuwa logically na kuleta positive impact .
Wapi TLS walileta positive impact, Tundu lisu ,shangazi wote walikuwa viongozi wa TLS wameleta nini?
 
Kama hufahamu tu, kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambapo wagombea wengi wa Chadema walienguliwa kimizengwe na tume ya uchaguzi kabla, miongoni mwao, wengi wao walikuwa ni wanasheria (mawakili), takwimu zinaonyesha wanasheria walikuwa zaidi ya nusu ya wagombea wote wa Chadema.
 
Samia ni CCM pia na anaendekea miradi ya mtanguliz wake
Nimekujibu kulingana na ulivyouliza kuwa siku itafika lini nikatoa mfano wa siku ya mwisho ya Jiwe, wewe unataka tuendelee kujadili mfano badala ya mada husika. Bye.
 
Utamaduni wa CHADEMA kupigania haki, kuchambua sheria mbalimbali na sera zenye harakati ya kuchambua katiba zinawavutia wanasheria wengi kua na msimamo, itikadi na mtizamo wa kiCHADEMA.
 
CHADEMA ndio chama pekee hapa Tanzania kilichoweza kutengeneza jukwaa la uhakika la kudumu na kutoa fursa kwa wanasheria kuingia na kushiriki siasa za Tanzania kwa uhakika na ukamilifu.
 
Kiufupi ni kuwa chadema ni cha watu walioenda shule na TLS all of them ni elites so ni rahisi kuwa na influence huko.

Kwanini labda Chadema haina ushawishi katika vyama vingine Kama CWT n.k

Kwanza wanachama asilimia kubwa ya CWT ni Watumishi wa serikali tofauti na TLS ambao ni watu huru waliojiajiri.

Kitendo cha kuwa huru umejiajiri haupo chini ya serikali maana yake unaweza kuwa logically na kuleta positive impact .
Huyp dogo kama atashindwa kuelewa hili jibu bhas atahitaji msaada upstairs. You nailed it bro
 
Nimekujibu kulingana na ulivyouliza kuwa siku itafika lini nikatoa mfano wa siku ya mwisho ya Jiwe, wewe unataka tuendelee kujadili mfano badala ya hoja, Bye.
Lakini hapa tunaongelea CCM mzee. Umeulizwa lini? Ukatoa mfano. So maana yake hujui mwisho wa CCM ni lini

Sasa tafuta buku upate nauli ya kwenda mahakamani
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Chadema iliwekwa katika misingi ya wasomi wa kitaaluma kama Sheria na kudai haki za watu nchini ikiwemo katiba mpya!

Wasemaji wakubwa was chadema ni wasomi active katika uweledi wao wakati ccm huku kwetu uweledi sio kipaumbele Bali uchawa na kujuana hatujawekaeza Kwa wasomi wenye hoja na kudai haki za watu!!

Ukionekana unadai haki za watu ndani ya ccm unageuka kuwa adui na mpinzani !kumbe ukiwa chawa mwizi na mla rushwa ukiwa umevaa nembo ya uccm wewe u salama!!

TLS kama taasisi ya kisomi lengo lake ni kusimamia sheria na haki za wananchi kama ilivyo lengo kuu la chadema na makada wake kama kina Lisu,kibatara ,madeleka n k! Ndio maana chadema Wana ushawishi mkubwa Kwa TLS kuliko chama kingine chochote

Pia nyakati hizi ambazo ccm imekua ikivunja haki za watu kupitia makada wake chadema ndio imekua kimbilio la kisheria na haki kupitia mawakili ambao ndio wanachama was TLS!wakati mawakili wanachama was ccm ambao pia ni member was TLS hawana mpango na wananchi hata kama haki zao zinavunjwa!!

TLS=Haki=Chadema

Chama changu ccm Ina Cha kujifunza kwenye hili!

RIP Thadae Ole Mushi no Moja kati ya kizazi Cha wajenga hoja ambao sisi ccm tungewekeza kwao lakini ameondoka bila mawazo yake kutumika vema,na tunao wakina Mushi wengi ndani ya chama lakini wameamua kuwa machawa tu kuendana na upepo was ulambaji asali!
 
Chadema iliwekwa katika misingi ya wasomi wa kitaaluma kama Sheria na kudai haki za watu nchini ikiwemo katiba mpya!

Wasemaji wakubwa was chadema ni wasomi active katika uweledi wao wakati ccm huku kwetu uweledi sio kipaumbele Bali uchawa na kujuana hatujawekaeza Kwa wasomi wenye hoja na kudai haki za watu!!

Ukionekana unadai haki za watu ndani ya ccm unageuka kuwa adui na mpinzani !kumbe ukiwa chawa mwizi na mla rushwa ukiwa umevaa nembo ya uccm wewe u salama!!

TLS kama taasisi ya kisomi lengo lake ni kusimamia sheria na haki za wananchi kama ilivyo lengo kuu la chadema na makada wake kama kina Lisu,kibatara ,madeleka n k! Ndio maana chadema Wana ushawishi mkubwa Kwa TLS kuliko chama kingine chochote

Pia nyakati hizi ambazo ccm imekua ikivunja haki za watu kupitia makada wake chadema ndio imekua kimbilio la kisheria na haki kupitia mawakili ambao ndio wanachama was TLS!wakati mawakili wanachama was ccm ambao pia ni member was TLS hawana mpango na wananchi hata kama haki zao zinavunjwa!!

TLS=Haki=Chadema

Chama changu ccm Ina Cha kujifunza kwenye hili!

Upo Sahihi Kabisa
 
Duh!! Mbowe ni msomi? 😀 😀 😀 Kama mwenyekiti wenu ni mbumbumbu tupo na haki ya kuwaita nyie ni nyumbu.
 
Waliomzunguka ni wasomi active kuliko mama samiah aloezungukwa na wasomi was kwenye makaratasi wanaomkwamisha japo kawaamini sana!!plus machawa!
 
Back
Top Bottom