Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #181
Upumbavu maana yake ni nini?
Hujui maana yake kumbe ndîo maana unasema siô Tusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upumbavu maana yake ni nini?
Wapi TLS walileta positive impact, Tundu lisu ,shangazi wote walikuwa viongozi wa TLS wameleta nini?Kiufupi ni kuwa chadema ni cha watu walioenda shule na TLS all of them ni elites so ni rahisi kuwa na influence huko.
Kwanini labda Chadema haina ushawishi katika vyama vingine Kama CWT n.k
Kwanza wanachama asilimia kubwa ya CWT ni Watumishi wa serikali tofauti na TLS ambao ni watu huru waliojiajiri.
Kitendo cha kuwa huru umejiajiri haupo chini ya serikali maana yake unaweza kuwa logically na kuleta positive impact .
Nimekujibu kulingana na ulivyouliza kuwa siku itafika lini nikatoa mfano wa siku ya mwisho ya Jiwe, wewe unataka tuendelee kujadili mfano badala ya mada husika. Bye.Samia ni CCM pia na anaendekea miradi ya mtanguliz wake
Mtu akikuambia wewe ni mbishi ni tusi? Ukiabiwa wewe unasura mbaya ni tusi? Ukiambiwa wewe hujasoma ni tusi? Hebu acha hizo.Embu turudi kwèñye Mada. Huko unashindwa kujieleza. Upumbavu ni Tusi hilo halihitaji mjadala
Zimemponza nani? We tulia hapo piga uchawa kimyakimya si lazima wote tuwaheshim vilaza unaowatukuza wewe.So what? Dharau zinawaponza sana. Mtapiga kelele mpaka mtazeeka.
Ndugu Mwl kada mtiifu wa chama Tawala.Duuh,
Mikopo kutoka taasisi 7, huyo mkopaji anatisha
Kwahiyo unataka nikufundishe maana ya upumbavu. Well:Hujui maana yake kumbe ndîo maana unasema siô Tusi
Huyp dogo kama atashindwa kuelewa hili jibu bhas atahitaji msaada upstairs. You nailed it broKiufupi ni kuwa chadema ni cha watu walioenda shule na TLS all of them ni elites so ni rahisi kuwa na influence huko.
Kwanini labda Chadema haina ushawishi katika vyama vingine Kama CWT n.k
Kwanza wanachama asilimia kubwa ya CWT ni Watumishi wa serikali tofauti na TLS ambao ni watu huru waliojiajiri.
Kitendo cha kuwa huru umejiajiri haupo chini ya serikali maana yake unaweza kuwa logically na kuleta positive impact .
Lakini hapa tunaongelea CCM mzee. Umeulizwa lini? Ukatoa mfano. So maana yake hujui mwisho wa CCM ni liniNimekujibu kulingana na ulivyouliza kuwa siku itafika lini nikatoa mfano wa siku ya mwisho ya Jiwe, wewe unataka tuendelee kujadili mfano badala ya hoja, Bye.
Mbaya zaidi unaowaita vilaza ndio wanaokuongoza. 😀 😀 😀.Zimemponza nani? We tulia hapo piga uchawa kimyakimya si lazima wote tuwaheshim vilaza unaowatukuza wewe.
Chadema iliwekwa katika misingi ya wasomi wa kitaaluma kama Sheria na kudai haki za watu nchini ikiwemo katiba mpya!Sabato Njema!
Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?
Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Chadema iliwekwa katika misingi ya wasomi wa kitaaluma kama Sheria na kudai haki za watu nchini ikiwemo katiba mpya!
Wasemaji wakubwa was chadema ni wasomi active katika uweledi wao wakati ccm huku kwetu uweledi sio kipaumbele Bali uchawa na kujuana hatujawekaeza Kwa wasomi wenye hoja na kudai haki za watu!!
Ukionekana unadai haki za watu ndani ya ccm unageuka kuwa adui na mpinzani !kumbe ukiwa chawa mwizi na mla rushwa ukiwa umevaa nembo ya uccm wewe u salama!!
TLS kama taasisi ya kisomi lengo lake ni kusimamia sheria na haki za wananchi kama ilivyo lengo kuu la chadema na makada wake kama kina Lisu,kibatara ,madeleka n k! Ndio maana chadema Wana ushawishi mkubwa Kwa TLS kuliko chama kingine chochote
Pia nyakati hizi ambazo ccm imekua ikivunja haki za watu kupitia makada wake chadema ndio imekua kimbilio la kisheria na haki kupitia mawakili ambao ndio wanachama was TLS!wakati mawakili wanachama was ccm ambao pia ni member was TLS hawana mpango na wananchi hata kama haki zao zinavunjwa!!
TLS=Haki=Chadema
Chama changu ccm Ina Cha kujifunza kwenye hili!
Kwahiyo unataka nikufundishe maana ya upumbavu. Well:
Mpumbavu ni mtu ambaye hajui na hajui kuwa hajui. Simple
Duh!! Mbowe ni msomi? 😀 😀 😀 Kama mwenyekiti wenu ni mbumbumbu tupo na haki ya kuwaita nyie ni nyumbu.Chadema iliwekwa katika misingi ya wasomi wa kitaaluma kama Sheria na kudai haki za watu nchini ikiwemo katiba mpya!
Wasemaji wakubwa was chadema ni wasomi active katika uweledi wao wakati ccm huku kwetu uweledi sio kipaumbele Bali uchawa na kujuana hatujawekaeza Kwa wasomi wenye hoja na kudai haki za watu!!
Ukionekana unadai haki za watu ndani ya ccm unageuka kuwa adui na mpinzani !kumbe ukiwa chawa mwizi na mla rushwa ukiwa umevaa nembo ya uccm wewe u salama!!
TLS kama taasisi ya kisomi lengo lake ni kusimamia sheria na haki za wananchi kama ilivyo lengo kuu la chadema na makada wake kama kina Lisu,kibatara ,madeleka n k! Ndio maana chadema Wana ushawishi mkubwa Kwa TLS kuliko chama kingine chochote
Pia nyakati hizi ambazo ccm imekua ikivunja haki za watu kupitia makada wake chadema ndio imekua kimbilio la kisheria na haki kupitia mawakili ambao ndio wanachama was TLS!wakati mawakili wanachama was ccm ambao pia ni member was TLS hawana mpango na wananchi hata kama haki zao zinavunjwa!!
TLS=Haki=Chadema
Chama changu ccm Ina Cha kujifunza kwenye hili!
Waliomzunguka ni wasomi active kuliko mama samiah aloezungukwa na wasomi was kwenye makaratasi wanaomkwamisha japo kawaamini sana!!plus machawa!Duh!! Mbowe ni msomi? 😀 😀 😀 Kama mwenyekiti wenu ni mbumbumbu tupo na haki ya kuwaita nyie ni nyumbu.
Genius akiwa mpumbavu ndio nasikia hii kwako. Hebu tupatie mfano wa Intelligent person ambaye ni mpumbavu😂😂
Kuwa serious kidôgo Mkûu.
Hujawahi kûna Genius na akawa Mpumbavu?
Kwahiyo umekubali mwenyekiti wenu ni mbumbumbu?Waliomzunguka ni wasomi active kuliko mama samiah aloezungukwa na wasomi was kwenye makaratasi wanaomkwamisha japo kawaamini sana!!plus machawa!