Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Upumbavu siyo tusi ni sifa. Jibu hoja sasa.

What is the source of revenue of TLS?

😊
Kwako kwako Tusi NI nini?
Tusi NI Sifa mbaya.
Umeniita Mpumbavu Wala sijakukasirika😃 Sasa Mimi kuuliza Kile kichaa chako kama kimepona ñàona unapandisha Sukari Mkûu 😊
 
Sijaamini kama wanasheria wa bongo ni bendera fuata upepo tu ,wanakamuliwa mambo na Chadem na genge lao la wanaharakati machawa .

Wanafuata mkumbo wa space ,chama chao kipo kupambana na serikali na sio kuisaidia ushauri wanatuhumiwa na wanasiasa walimu wasingekubari kufanya huo utoto


USSR
Haters
 
Tupatie sasa ya wakili. Maana nona huyo jamaa anamikopo miwili. Na huenda ameshajenga nyumba yake. Na anakatwa kila mwezi.

CWT has more revenue and assets than TLS.

TLS makelele meengi mfukoni zero
Pole ndugu mtaji wa CCM.
 
Haya nieleze sasa nguvu ya TLS kwenye siasa za Tanzania.

1. Umekili kwamba hawana Pesa
2. Umekili kwamba ni wachache

Nguvu ya Sheria huijui Kwa sbbu wewe sio mtawala.

Watawala WANAJUA Sheria NI nini?
Mtawala anaweza kukosa Wataalamu wôte lakini hawezi kukosa mwanasheria.

Sheria ndîo Siasa Mkûu.
 
Unamaoni gàni kuhusu mustakabali na athari za wanasheria kutokuwa upande sa Chama kinachounda serikali yàani CCM?
Je kûna uhûsiano wowote na kushindwa Kwa serikali katika Baadhi ya Kesi za ndàni na kimataifa?
Hilo jambo mbona liko wazi sana?

Hao CCM wameshindwa kutuletea maendeleo makubwa wananchi, pamoja na kukaa madarakani, tokea nchi hii inapata uhuru wake mwaka 1961
 
Nguvu ya Sheria huijui Kwa sbbu wewe sio mtawala.

Watawala WANAJUA Sheria NI nini?
Mtawala anaweza kukosa Wataalamu wôte lakini hawezi kukosa mwanasheria.

Sheria ndîo Siasa Mkûu.
TLS wanapiga kura? Je sheria inapiga kura?

Nimeekueleza unipatie ushawishi wa hao TLS against CWT kwenye siasa za Tanzania
 
Hilo jambo mbona liko wazi sana?

Hao CCM wameshindwa kutuletea maendeleo makubwa wananchi, pamoja na kukaa madarakani, tokea nchi hii inapata uhuru wake mwaka 1961
Nakumbuka juzi tumezindua SGR ya umeme imeletwa na CCM hayo siyo maendeleo? Unataka CCM wakutie mimba ndio uone maendeleo?
 
Umekili?? Acha upumbavu wa kuandika kiswahili kilichokosewa.
Huko ccm vilaza wa aina hiyo ni wa kumwaga. Nilipoona kwenye namba moja kaandika hivyo, nikadhani ni typo, aliporudia neno umekili nikajua ni kilaza😂
 
CCM ni chama cha watu wote. Walioenda na ambao hawajaenda shule. Inatusaidia sana kupata kura nyingi kwenye uchaguzi mkuu. CHADEMA iendelee kujikita kwa wasomi na iachane na makundi mengine wanayoona ni ya wajinga.
Chadema hawajasema wanaachana na wajinga, wewe unawalisha maneno. Chadema inadhamira watanzania wote wajikomboe kifikra waweze kutetea haki zao, waweze kusimamia haki, kulinda rasilimali za taifa hili na kujiletea maendeleo kulingana na rasilimali za taifa hili.
 
Back
Top Bottom