Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Nime edit comment yangu.

Kuwa CWT most of them ni waajiriwa wa serikali so hawapo huru
Sidhani kama kuwa muajiriwa wa serikali maana yake uhuru wako unafungwa. Wengi wa walioko kwenye hivi vyama vya wafanyakazi mawazo na akili zao zinawaza teuzi. Hiki ndicho kinachowapumbaza na kuwafanya kuwa kondoo muda wote
 
Hivyo hivyo CCM over CDM, au nimekosea wapi?
Ila changamoto ni akili na mitazamo yao sasa🗑
Unaposema akili unamaanisha nini? Yaani mwalimu aweze kukufundisha ujue kusoma na kuandika unamuona hana akili? Hahahaha!!
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Si kila anaekataa kuyumbishwa, kujipendekeza na mwenye msimamo ni chadema. Wengine hawana vyama
 
Kitendo cha wengi wao kuwa wamejiajiri, wapo huru hawafungwi na matamko walakutishiwa nyau na serikali. Tofauti na vyama vingine, asilimia kubwa wamebanwa na mlango...hawachomoki.

Huyu Venus Star mbona anawakosea heshima, au bado hajapona kichaa chake?
 
Sidhani kama kuwa muajiriwa wa serikali maana yake uhuru wako unafungwa. Wengi wa walioko kwenye hivi vyama vya wafanyakazi mawazo na akili zao zinawaza teuzi. Hiki ndicho kinachowapumbaza na kuwafanya kuwa kondoo muda wote
All of them wanawaza teuzi.

Hawajiulizi sasa watateuliwa wangapi? Maana nafasi ni chache.

Lakini wana imani balaa ni zaidi ya waumini wa Mwamposa.
 
And still is the poorest class of all in many aspects

unajitahidi kubandika nyuzi huku na kule lakini wapi.
Watu hawasomi nyuzi zako zisizo na content.
Hebu tupatie ulinganisho wa umaskini wa mawakili na walimu. 😀 😀

Ndugu mawakili tunaishi nao huku mtaani. Wanaomba mpaka buku ya nauli.
 
Si kila anaekataa kuyumbishwa, kujipendekeza na mwenye msimamo ni chadema. Wengine hawana vyama

Sijasema ulichoandika Mkûu.
Tunazungumzia ushawishi wa CHADEMA Kwa TLS.
Mtu unaweza usiwe Chama Fulani na usiwe na Chama lakini ukashawishika kuchagua Kiongozi Kutoka Chama hicho kilichokushawishi ingawaje wewe sio mwanachama
 
Kiufupi ni kuwa chadema ni cha watu walioenda shule na TLS all of them ni elites so ni rahisi kuwa na influence huko.

Kwanini labda Chadema haina ushawishi katika vyama vingine Kama CWT n.k

Kwanza wanachama asilimia kubwa ya CWT ni Watumishi wa serikali tofauti na TLS ambao ni watu huru waliojiajiri.


Kitendo cha kuwa huru umejiajiri haupo chini ya serikali maana yake unaweza kuwa logically na kuleta positive impact .
Cwt taka taka hiyo 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom