Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

1. Kwa nini wawe na Kesi?
2. Kwa nini mara Kwa mara CHADEMA inashinda Kesi Mahakamani?

Serikali haioni kama kama Siku za mbeleni ikikosa uungwaji mkono na Chama muhimu cha wanasheria itapata Hasara katika uendeshaji WA nchi, ukizingatia nchi inaongozwa na Sheria?
Vipi mikataba mibovu
Mimi sijawahi ona wanasheria wa ccm wakishinda kesi.

Sijui wao walisomea wapi hao akina Venus Star
 
Maisha ni kula na kufurahi. Msimamo wako mkali huku unaomba buku kwa washikaji uende mahakamani ni Upumbavu

Maisha ni Kula na kufarahi lakini siô Kula Kwa dhulma.
NI Bora ugali mlenda Kwa Haki kuliko Pizza na nyama choma Kwa dhulma.
 
CHADEMA waliwahi kutenda Haki Wapi Mkûu?
Haki ni pamoja na kutetea raia, rasilimali za nchi n.k, Malisa ni CHADEMA anachangisha pesa watu wanatibiwa bila kujali vyama ama dini zao, alipokamatwa Olesabaya CHADEMA walishinikizwa apelekwe mahakamani kama sheria inataka. Lisu amesaidia watu wangapi nchi hii bila kujali vyama vyao?
 
Yaani wewe huwezi kuwaza jambo lolote nje ya kujaza tumbo?.
Huo ni umaskini mbaya sana.
Mambo yote tunahangaika kwa ajili ya kujaza tumbo.

Kama unafanya jambo halikusaidii kujaza tumbo achana nalo.
Unless other wise dishi limeyumba.
 
1. Kwa nini wawe na Kesi?
2. Kwa nini mara Kwa mara CHADEMA inashinda Kesi Mahakamani?

Serikali haioni kama kama Siku za mbeleni ikikosa uungwaji mkono na Chama muhimu cha wanasheria itapata Hasara katika uendeshaji WA nchi, ukizingatia nchi inaongozwa na Sheria?
Vipi mikataba mibovu
CCM ni chama cha majangili tupu
 
Mimi sijawahi ona wanasheria wa ccm wakishinda kesi.

Sijui wao walisomea wapi hao akina Venus Star

Ndio maana nikasema, isijekuwa NI hujuma fiche Kwa serikali. Kwamba NI wanasheria wa serikali lakini hawapo na serikali.

Mikataba mibovu pia ni Moja ya dalili mbaya kuwa wàpo wanasheria wanaihujumu serikali Kwa visingizio vya kutishwa au kufukuzwa kazi
 
Mambo yote tunahangaika kwa ajili ya kujaza tumbo.

Kama unafanya jambl halikusaidii kujaza tumbo achana nalo.
Unless other wise dishi limeyumba.
Mkuu una njaa sana si ajabu leo.umeamka na hasira kali.

Pambana ulipe madeni kaka nafsi yako itulie, inaonekana una msongo wa mawazo
 
Mkuu una njaa sana si ajabu leo.umeamka na hasira kali.

Pambana ulipe madeni kaka nafsi yako itulie, inaonekana una msongo wa mawazo
Kwa hiyo tumeacha kuongelea mada unaanza kunijadili mimi?

Hoja zangu umezikwepa:

1. Nimesema TLS hawana sustainable source of income. Mbona hujaijibu hii?

2. Nimesema TLS wanazidiwa na CWT katika angles zote (Revenue and Assets)

Mbona hujajibu?

Unapenda simple arguments
 
Haki ni pamoja na kutetea raia, rasilimali za nchi n.k, Malisa ni CHADEMA anachangisha pesa watu wanatibiwa bila kujali vyama ama dini zao, alipokamatwa Olesabaya CHADEMA walishinikizwa apelekwe mahakamani kama sheria inataka. Lisu amesaidia watu wangapi nchi hii bila kujali vyama vyao?
Chadema imejipambanua kwa sifa njema. Anayeikataa chadema ni yule tu mpenzi wa mambo ya giza mambo ya Sheitwan laanaturah
 
Back
Top Bottom