Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Sio chama hicho tu. Hata vingine vingi kama Madaktari, Ma Engineers, na watu wa Hesabu na Fedha.

Ni njaa tu zinawatuma wengi lakini Chadema ndio mpango mzima.
 
CHADEMA wanapenda haki na TLS iliundwa kwa lengo la kutenda haki, kwanini CCM ina ushawishi mkubwa kwenye ufisadi na rushwa?
 
Sio chama hicho tu. Hata vingine vingi kama Madaktari, Ma Engineers, na watu wa Hesabu na Fedha.

Ni njaa tu zinawatuma wengi lakini Chadema ndio mpango mzima.

Lakini Mkûu ukisema Njaa kwani Wanasheria Hawana Njaa.
Mimi ninawajua washkaji zangu wanasheria tuliomaliza nao Miaka kadhaa Nyuma wako na Njaa Kali lakini misimamo Yao Iko tofauti na Wasomi WA Kada ñyiñgine weñye njaa
 
TLS ishakuwa na raisi Tundu Lissu na Fatma Karume kama wakosoaji wakubwa wa serikali.

Sasa huyo Mwabukusi atakuja na lipi jipya. Zaidi ya kujigamba tu kwa nafasi yake
Nafasi ya Urais wa TLS haina impact yoyote hapa TZ. Maana hata kutunga sheria linatunga ni bunge.

TLS ni sawa na chama cha wafanyakazi wa ndani

Just imagine what is the source of income of TLS iweze kuwaisaidia jamii? 😀 😀 😀 😀
 
Lakini Mkûu ukisema Njaa kwani Wanasheria Hawana Njaa.
Mimi ninawajua washkaji zangu wanasheria tuliomaliza nao Miaka kadhaa Nyuma wako na Njaa Kali lakini misimamo Yao Iko tofauti na Wasomi WA Kada ñyiñgine weñye njaa
Hao wenye njaa ji sawa na mimi.

Hata mimi nina njaa ila sijaruhusu tumbo linizidi Ubongo
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Chadema ni chama Cha misala na hekaheka za kesi so wanadhani Wakiwa na Wafuasi wengi mawakili watawasaidia kwenye kesi zao zisizoisha 🤣🤣

Vingine mawakili hawawezi kuwasaidia kuingia Ikulu
 
Lakini Mkûu ukisema Njaa kwani Wanasheria Hawana Njaa.
Mimi ninawajua washkaji zangu wanasheria tuliomaliza nao Miaka kadhaa Nyuma wako na Njaa Kali lakini misimamo Yao Iko tofauti na Wasomi WA Kada ñyiñgine weñye njaa
Maisha ni kula na kufurahi. Msimamo wako mkali huku unaomba buku kwa washikaji uende mahakamani ni Upumbavu
 
Sijaamini kama wanasheria wa bongo ni bendera fuata upepo tu ,wanakamuliwa mambo na Chadem na genge lao la wanaharakati machawa .

Wanafuata mkumbo wa space ,chama chao kipo kupambana na serikali na sio kuisaidia ushauri wanatuhumiwa na wanasiasa walimu wasingekubari kufanya huo utoto

USSR
 
Chadema ni chama Cha misala na hekaheka za kesi so wanadhani Wakiwa na Wafuasi wengi mawakili watawasaidia kwenye kesi zao zisizoisha 🤣🤣

Vingine mawakili hawawezi kuwasaidia kuingia Ikulu

1. Kwa nini wawe na Kesi?
2. Kwa nini mara Kwa mara CHADEMA inashinda Kesi Mahakamani?

Serikali haioni kama kama Siku za mbeleni ikikosa uungwaji mkono na Chama muhimu cha wanasheria itapata Hasara katika uendeshaji WA nchi, ukizingatia nchi inaongozwa na Sheria?
Vipi mikataba mibovu
 
Back
Top Bottom