DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
CCM ni chama cha watu wote. Walioenda na ambao hawajaenda shule. Inatusaidia sana kupata kura nyingi kwenye uchaguzi mkuu. CHADEMA iendelee kujikita kwa wasomi na iachane na makundi mengine wanayoona ni ya wajinga.
Kweli watu wavijijini wengi wanapenda Sana ccm nadhani ni Giza tu