Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Simple tu. Waambie mawakili sasa wawafundishe. Au wafungue kesi
downloadfile.jpg

JAMII YA WATU WAPUMBAVU HASWAAAAAAAAAA...!!
 
Mzee I never attacked you personally. Nashangaa wewe umeanza kunizungumzia mimi.

Umesahau mara Moja hii uliponambia kuwa Mimi Gen Z, sijui nikikua, sijui upumbavu na blah blah!
Kumbe haikuwa Personal attack kwangu
Jibu hoja zangu. What is the sustainable source of revenue of TLS? Tupatie na source ya income ya mawakili.

Tuachane na matusi.
Mawakili Hawana source ya income kutokana na kuwa bado waô NI wachache na Pesa za Ada ya wanachama bàdo hazitoshi kujenga miradi.
Lakini hiyo haimaanishi kuwa Hawana nguvu
 
Kada ya Sheria kwèñye ûtawala na siasa ndîo Nguzo kuu inayoratibu mambo mengine.
Sheria ndîo ûtawala.

Hizo Kada ñyiñgine NI nyeti lakini siô kwèñye Ûtawala.

Rais na Dola wàpo pale Kwa sababu ya Sheria.
Hakuna nchi au Taífa Bila Sheria ila Taífa linaweza kuwepo pasipo Baadhi ya Taaluma

Ndîo maana Taaluma nyingi zimezuka juzijuzi tuu
Hayo ni maoni yako. Tunayaheshimu
 
Umesahau mara Moja hii uliponambia kuwa Mimi Gen Z, sijui nikikua, sijui upumbavu na blah blah!
Kumbe haikuwa Personal attack kwangu

Tuachane na matusi.
Mawakili Hawana source ya income kutokana na kuwa bado waô NI wachache na Pesa za Ada ya wanachama bàdo hazitoshi kujenga miradi.
Lakini hiyo haimaanishi kuwa Hawana nguvu
Upumbavu siyo tusi ni sifa. Jibu hoja sasa.

What is the source of revenue of TLS?
 
CCM ni chama cha watu wote. Walioenda na ambao hawajaenda shule. Inatusaidia sana kupata kura nyingi kwenye uchaguzi mkuu. CHADEMA iendelee kujikita kwa wasomi na iachane na makundi mengine wanayoona ni ya wajinga.
Ogopa sana kutegemea kundi la wajinga siku wakikugeuka kuwarudisha huwa ni kazi sana.
 
Tupatie sasa ya wakili. Maana nona huyo jamaa anamikopo miwili. Na huenda ameshajenga nyumba yake. Na anakatwa kila mwezi.

CWT has more revenue and assets than TLS.

TLS makelele meengi mfukoni zero
We jamaa kama una hela ni zako na familia yako tu. Sisi hazituhusu
 
Kiufupi ni kuwa chadema ni cha watu walioenda shule na TLS all of them ni elites so ni rahisi kuwa na influence huko.

Kwanini labda Chadema haina ushawishi katika vyama vingine Kama CWT n.k

Kwanza wanachama asilimia kubwa ya CWT ni Watumishi wa serikali tofauti na TLS ambao ni watu huru waliojiajiri.

Kitendo cha kuwa huru umejiajiri haupo chini ya serikali maana yake unaweza kuwa logically na kuleta positive impact .
Umemaliza
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Kwa sababu majority ya wana sheria tunajitambua. Na tuna uwezo wa ku reason
 
Sijaamini kama wanasheria wa bongo ni bendera fuata upepo tu ,wanakamuliwa mambo na Chadem na genge lao la wanaharakati machawa .

Wanafuata mkumbo wa space ,chama chao kipo kupambana na serikali na sio kuisaidia ushauri wanatuhumiwa na wanasiasa walimu wasingekubari kufanya huo utoto

USSR
Honestly nimeshindwa kuelewa umeongea utoto gani.
 
Umesahau mara Moja hii uliponambia kuwa Mimi Gen Z, sijui nikikua, sijui upumbavu na blah blah!
Kumbe haikuwa Personal attack kwangu

Tuachane na matusi.
Mawakili Hawana source ya income kutokana na kuwa bado waô NI wachache na Pesa za Ada ya wanachama bàdo hazitoshi kujenga miradi.
Lakini hiyo haimaanishi kuwa Hawana nguvu
Haya nieleze sasa nguvu ya TLS kwenye siasa za Tanzania.

1. Umekili kwamba hawana Pesa
2. Umekili kwamba ni wachache
 
Back
Top Bottom